Nyamboboy
JF-Expert Member
- Jun 22, 2017
- 362
- 453
Kuna mzunguko mkubwa sana wa noti fake kwa mkoa wa Iringa(hasa wilaya ya Iringa huku Pawaga)
Naomba Serikali kupitia vyombo vyake ifuatilie hili jambo. Inasemekana kuna wanunuzi wa mpunga waliingia na noti hizo wakaziingiza kwenye mzunguko.
Ukiwa na noti tano za elfu hukosi noti moja isiyokuwa halali yaani fake!