Mzumbe Sekondari

Wale tuliopitia uzumbeni tusikose graduation ya wadogo zetu form 6 itakayo fanyika mwezi wa 4. Binafsi nilikuwa na ishi mkwawa01 village nikiwa a-level. Pia pongezi kwa ex-mzumbe kwaajili ya ukarabati.

Karibuni wazumbe na kilakala wote "nyayo”?

Mnaopita hii thread msisahau kushare experience, events nk za uzumbeni. Siku ya kwanza kuripoti nilienda prepo kupiga msuli kwaajili ya woga. Wadau walinicheka sana na kuníita "mtabe". Wazumbe toeni experience ya pale. Chatu zone. Zongwe, Mongwe, Mzukila., Kilima Hewa.
hahahahahahh nilikuwa Nina dogo anasoma pale advance siku niliyoenda kumcheki alinionyesha hapo chatu zone

halafu mzumbe kuna bundi wengi sana hahhahahh

ila wanafunzi wasafi sana

yaani mabweni masafiii

ukiinhia na ndala tu unapigishwa deki.

nilikaa mzumbe wiki mbili bweni kiwiziwizi japo siku mwanafinzi Wa shule mi nilikuwa nasoma.dar
 
Ha ha ha! Ni Kweli Mkuu Ndala Na Viatu Unaacha Kwenye Ngazi Ukichoma Tu Unadeki Bweni Lote. Pia Chatu Zone Palikuwa Panaishi Chatu Mkubwa Kuna Mdau Alimuona Pindi Anapita Wakafanikiwa Kumuua. Kenge Na Bundi Wapo Sana Hapo. Cc Mazigazi
 
Nakumbuka PCM Walibatizwa People Calculating Maths, (Faculty Of Engineering) HGL High Government Leaders Aka ( Faculty of Law) PCB, People Confusing Brain Aka ( Faculty of Medicine).
 
Ule mwaka wa zongwe lipo kwenye ubora ikafika mahafali ya form 6 ukumbi karibu wote tumechakaa nyuso,,, Mzee Mwasha anatupa moyo eti hata mimi limenipiga kidogo hapa
 
Kuna bro mmoja alikuwa Karume 5 alipigwa P. E,,, siku ya mahafali akawa analia tu huku kajifunga msuli ikabid mama yake amletee zawadi zake bwenini
Ha ha ha! Hiyo Graduu ilikuwa Hataree. Jmaa Hata Sahau "P.E" But Kwa Pale Ni Kawaida Kuwanayo. Uli Graduate Lini Mkuu?
 
Wazumbe & KilaxTusiipite Hii Thread Bila Kutupia Neno Moja. Kwa Namna Mmoja Au Nyingine Tutakuwa Tumeonesha Uzalendo.
 
Ule mwaka wa zongwe lipo kwenye ubora ikafika mahafali ya form 6 ukumbi karibu wote tumechakaa nyuso,,, Mzee Mwasha anatupa moyo eti hata mimi limenipiga kidogo hapa
Teh teh hao zongwe ni balaa nakumbuka wakikupitia usoni uso unakua kama umebabuka vile, kipindi cha mvua usiombe tope linakua jekunduu, kuna ule mchungwa pale staff tulikua tunaiba machungwa na madogo wa o level, ila chatu pori kuna washkaji walipewa wafyeke pale. Nmemiss lile disco wazumbe wote tunanukia pafyumu ya aina moja.. Mtu anaishi milambo anaenda fuata pafyumu shaban robert. Siku ya pilau kila mwana mzumbe ananunua soda.. Haha aa
 
I hope Ulimkuta Minja, Shayo, Malamasha Wote Nasikia Wapo. Kuna Mpishi Mrefu, Slim, Ananyoa Pank. Alifariki Mwezi 3 this year.
Yaah nliwakuta wote hao kaka,,, kumbe amefariki yule mpishi tall,,, daah apumzike kwa amani alikuwa peace sana
 
Teh teh hao zongwe ni balaa nakumbuka wakikupitia usoni uso unakua kama umebabuka vile, kipindi cha mvua usiombe tope linakua jekunduu, kuna ule mchungwa pale staff tulikua tunaiba machungwa na madogo wa o level, ila chatu pori kuna washkaji walipewa wafyeke pale. Nmemiss lile disco wazumbe wote tunanukia pafyumu ya aina moja.. Mtu anaishi milambo anaenda fuata pafyumu shaban robert. Siku ya pilau kila mwana mzumbe ananunua soda.. Haha aa
Ha ha ha! Those Moment Zilikua Funny But Fundisho. Afu Huwezi Kuzi Embrace Tenaaaah!
 
Yaah nliwakuta wote hao kaka,,, kumbe amefariki yule mpishi tall,,, daah apumzike kwa amani alikuwa peace sana
Ameen! Pia Lab Technician Alipass away. Last Year...! May Their Souls Rest In Peace.
 
Back
Top Bottom