Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,660
- 58,999
Na wewe umeppiga jibapa?Hao ni CHADEMA wanafiki duniani na mbinguni!! Waliyemtangaza Fisadi kwa miaka 8 sasa wanasema ni Malaika na kwamba ule ushahidi waliokuwa nao umepotea!!

Nimeanza kuamini kuwa jamaa analewa pombe
Chama kipi kinaaminika japo hapa duniani, na mbinguni tupaache kwanza!Acha kusingizia watu,chadema haiminiki mbinguni na duniani,hopeless kabisa
Song haina mvuto hiyo,ishachuj kitambo!Chadema ni wanafiki na wambea sana.
Leo wanasema lowasa fisadi na ushahidi wanao, kesho wanasema lowasa ni mkombozi twende ikulu.
Inaonekana mchungaji anaamua nini afe nani aishi Mzee wa upako we sio Mungu.Nimeshangazwa kauli ya Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" akilalamika eti Chadema wanamchafua eti wanamwonea wivu wa kujengewa Barabara Na Mh.Rais.
Haingii akilini mhubiri huyo kudai eti Mh.Lowassa hawezi kushinda uchaguzi 2020 Kwa sababu Chadema wamemchafua.
Napenda kumhakikishia Mchungaji Lusekelo Mungu ameamua kumwanika Mchungaji huyo kutokana Na matendo yake maovu ili waumini Na wasio waumini wamjue tabia yake Na kweli amejulikana Leo unawasingia Chadema wanakuchafua uliwakosea nini?
Mchungaji Lusekelo acha kusingizia watu ili kuficha dhambi zako unachotakiwa ni kuomba msamaha Kwa waumini wako Na watanzania Kwa ujumla.
Kumbuka Barabara unayojengewa ni kodi za masikini Na wanyonge wa Tanzania.Umewaambia waandishi wa habari eti wale waliokuandika watakufa, haikuwa kauli sahihi Kwa kiongozi wa dini kama wewe waandishi walikuwa wanafikisha ujumbe wa waumini wako.
Mchungaji acha vitisho.
Mzee wa upako anaendeshwa na pombeInaonekana mchungaji anaamua nini afe nani aishi Mzee wa upako we sio Mungu.
huyu jamaa inawezekana anakula na msubaNimeshangazwa kauli ya Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" akilalamika eti Chadema wanamchafua eti wanamwonea wivu wa kujengewa Barabara Na Mh.Rais.
Haingii akilini mhubiri huyo kudai eti Mh.Lowassa hawezi kushinda uchaguzi 2020 Kwa sababu Chadema wamemchafua.
Napenda kumhakikishia Mchungaji Lusekelo Mungu ameamua kumwanika Mchungaji huyo kutokana Na matendo yake maovu ili waumini Na wasio waumini wamjue tabia yake Na kweli amejulikana Leo unawasingia Chadema wanakuchafua uliwakosea nini?
Mchungaji Lusekelo acha kusingizia watu ili kuficha dhambi zako unachotakiwa ni kuomba msamaha Kwa waumini wako Na watanzania Kwa ujumla.
Kumbuka Barabara unayojengewa ni kodi za masikini Na wanyonge wa Tanzania.Umewaambia waandishi wa habari eti wale waliokuandika watakufa, haikuwa kauli sahihi Kwa kiongozi wa dini kama wewe waandishi walikuwa wanafikisha ujumbe wa waumini wako.
Mchungaji acha vitisho.
Mambo yake hayo
alishawawahi kukamatwa coco anakula mbunye ndani ya gari pamoja na ulevi ni malaya pia......Kazi hipo,
1: Gwjima- Mbasha
2: Efatha- Mke wa Docta Mkameroun
3: Malasusa- Mke wa mtu
4: Mokiwa- nidham mbovu
5: Mzee wa Upako- Cha Pombe
Hivi Kanisa lake halina wana Chadema au Wapenzi wa Lowassa?, kwa nini anajitengenezea maadui bila sababu
Apelekwe mahakamani. Mbona mwenzake yupo Kisongo kwa kosa kama hilo.Nimeshangazwa kauli ya Mchungaji Lusekelo "Mzee wa Upako" akilalamika eti Chadema wanamchafua eti wanamwonea wivu wa kujengewa Barabara Na Mh.Rais.
Haingii akilini mhubiri huyo kudai eti Mh.Lowassa hawezi kushinda uchaguzi 2020 Kwa sababu Chadema wamemchafua.
Napenda kumhakikishia Mchungaji Lusekelo Mungu ameamua kumwanika Mchungaji huyo kutokana Na matendo yake maovu ili waumini Na wasio waumini wamjue tabia yake Na kweli amejulikana Leo unawasingia Chadema wanakuchafua uliwakosea nini?
Mchungaji Lusekelo acha kusingizia watu ili kuficha dhambi zako unachotakiwa ni kuomba msamaha Kwa waumini wako Na watanzania Kwa ujumla.
Kumbuka Barabara unayojengewa ni kodi za masikini Na wanyonge wa Tanzania.Umewaambia waandishi wa habari eti wale waliokuandika watakufa, haikuwa kauli sahihi Kwa kiongozi wa dini kama wewe waandishi walikuwa wanafikisha ujumbe wa waumini wako.
Mchungaji acha vitisho.
Kwa hapa Tanzania watu aina hiyo wametamalaki, fikiria mtu na akili yake bado ana imani na CCM...!Kinachoshangaza, wale waumini wao wote hakuna mwenye akili ya kung'amua? Wamepigwa upofu gani hata kukosa maarifa kiasi hicho?