Katika hali isiyokuwa ya kawaida kuna mzee ameokota mfuko ulioukuwa umejaa manoti na kuzipeleka polisini.
Inavyosemekana pesa hizo zilitupwa dampo na mfanya usafi katika duka akidhani ni uchafu kwa jinsi zimivyosokotwa.
Mzee ombaomba kapita jalalani akaliokota hilo fuko na kwenda nalo nyumbani hamadi kulifungua kama mil60 mzee akakasirika sana eti watu wanasema hali ngumu huku wanatupa pesa akachomoa elf20 akaficha kisha lile mfuko akapeleka polisi mwenyewe akitokea apewe pesa zake.he he heh HIVI UNGEKUWA WE MSOMAJI UNGEPELEKA POLISI AU ??!!