G gogo la shamba JF-Expert Member Mar 1, 2013 6,669 2,165 Mar 24, 2016 #1 hivi huyu waziri wa Kilimo atakuja lini TPRI? pale kuna jipu linatoa usaa na ukitaka kuliona njoo TPRI na uongee na wafanyakazi,ukitegemea habari za kuambiwa utadanganywa
hivi huyu waziri wa Kilimo atakuja lini TPRI? pale kuna jipu linatoa usaa na ukitaka kuliona njoo TPRI na uongee na wafanyakazi,ukitegemea habari za kuambiwa utadanganywa
MOTOCHINI JF-Expert Member Jan 20, 2014 27,778 30,749 Mar 24, 2016 #2 Mwigulu baba mbona kimya!! Funua kucha