MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
- Thread starter
- #41
Mkuu usimcheke mamba kabla hujavuka MRI ,waweza kuta kaburi lako likawa pembeni ya kaburi watalozila majibu yake, sasa utakataa eti kisha una amini umezikwa Karibu na mwabudu mashetani.
Huyo ni mwenzetu tu mkuu, haiwezekaniki kumkwepa. Wote tu wasafiri.
Huyo ni mwenzetu tu mkuu, haiwezekaniki kumkwepa. Wote tu wasafiri.
Huyu sio mwenzetu bali alikuwa mshirika wa Shetani, alijaribu kupoteza vijana wetu kwa kuwapa pesa wajiunge na dini hiyo let him go to hell.