Mwigulu Nchemba: Dhambi hatuwezi kuipa jina zuri na baadae tukaitukuza

Kama una unakubaliana na mawazo ya Mwigulu nitasema haya machache. You are outdated and detached to the real World.

Education is not merely certificates, Needs to enter your mind, heart and change your way of thinking ability. If your mind still influenced by your mother's teaching then education has no value to you. Education makes a man to think critically, makes a man to be impartial.

Vipi mtoto aliyebakwa na wahuni na akapa mimba hivyo asirudi shuleni? Aliyebakwa anapelekwa gerezani kujirekebisha tabia ila matokeo ya aliyebakwa yanahukumu future yake.
 
Ni kweli alichoongea Mwigulu! Lakini pia ni kweli watakaoathirika zaidi ni watoto wa mafukara na maskini, watoto wa matajiri na viongozi wakubwa wataendelea na masomo kwa namna yo yote ile hata kwa kupelekwa nje ya nchi!!

Mkuu wewe tulikuwa unashauri vipi?
 
Well said. When your head is Smoke free you do write senses.
 
THANK YOU SIR! I salute you.

 
Mkuu, kuchangia ndiyo kutusi, kukejeli na kudharau mwingine, tena haumfahamu?
Petro
Petro
Wewe ni mtu mzima, sina shaka na uelewa wako.
Lakini kwanini mtu kama huyu akuondolee amani yako!
Ni rahisi sana kukwepa usichokipenda, fanya hivi;
Kila uonapo post yake usiisome ili kutunza amani yako.
Au isome na kuipuuza, je utachubuka?
Najua anakukwaza lakini kakusababishia michubuko?
Puuzia na maisha yanasonga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…