MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,996
- 7,087
Afyatue magufuli atasomesha kwani anaposema bure anamaanisha bure kweli.
Mbona unabii wako unaenda mbali sana ,Kwa kweli leo nimepata unabii...Arsenal inachukua ubingwa msimu ujao
Nnao watatu,mama yao ana mimba ya nne sasaBora ww una mtt mmoja
naomba namba yakeKwetu kuna mama anakupa dawa unabadili jinsia vizuri tuu
eti ina plastic inarudiii kwa hapo hapanaa aiseHaiwezi kubana kwa style hiyo.
Ndio kawaida ya unabii. Tumesubiri kwa miaka 12, huu wa 13 ujao ni wetu km huyo mamaMbona unabii wako unaenda mbali sana ,
Hongera sana...ndio maana kumbeNnao watatu,mama yao ana mimba ya nne sasa
eti ina plastic inarudiii kwa hapo hapanaa aise
Leo wikiend inaanza tunaenda wapiHongera sana...ndio maana kumbe
Acha maneno kwa hiyo zari je atakuwa na kaunafuu etiHairudi kuwa kama mwanzo, inakuwa tu average.
Acha maneno kwa hiyo zari je atakuwa na kaunafuu eti
tena haswa..duh hatari
Hapana nitamuuzia sh ngapi?tena haswa..
sasa unaonaje mi na wewe tukafanya mgegedo tupate wakike ili tumuokolee jahazi...........?
Unadhani kila mtu anaweza kwenda Us kufanyiwa surgeryAisee siwezi jua, lakini si tunaambiwa kuna surgery za kubana K?
Unadhani kila mtu anaweza kwenda Us kufanyiwa surgery
Acha maneno kwa hiyo zari je atakuwa na kaunafuu eti
Sawaaa,piga kazii logout jfHiyo niliijibu kutokana na wewe kuuliza kuhusu Zari, sikumaanisha wote.
Sema tutamuuzia kwani atakuwa wakwako peke yako!Hapana nitamuuzia sh ngapi?