Mwenye utaalam na Uzoefu na gari aina ya Honda Vezel

marisi schwein

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,037
3,142
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
BR733593_7c89f1.jpeg
BR733593_7542f3.jpeg
 
Oya we. Hongera kwa kuchagua ilo gari.

Honda Vezel (Japan) aka Honda XR-V aka Honda ZR-V ilianza kutengenezwa zamani ila kwa picha yako unayoulizia ww ni 2nd generation ya mwaka 2013 hadi 2022.

Kama unaagiza kutoka Japan najua utapata ya cc 1500 Hybrid yenye engine LEB-H1. Usiogope, hii engine imetumika kwenye Hybrids nyingi za Honda kwahiyo ipo vizuri. Magari kama Honda Insight (mpinzani mkuu wa Prius), Honda Jazz aka Fit Hybrid, Accord Hybrid, Honda City, Honda Grace, etc. kwahiyo ni engine ambayo Honda wameshaifanyia kazi/development kwa muda mrefu sana.

Tatizo pekee ambalo nimelisikia kwenye Honda Hybrid cars (nilitaka kununua Honda Hybrid) ni tatizo kwenye dual clutch transmission (DCT). Hii nadhani ndio keypoint ungeanza kuipitia kwenye forums na mafundi kabla haujajilipua.

Matatizo mengine ni ya kawaida tu ambayo yapo kwenye magari yote.

Point
Unavyonunua gari la Hybrid usiangalie mileage ndogo. Hybrid ni tofauti na gari za kawaida (ICE). Hybrid ikiwa na Kilometa chache sana wakati ni ya zamani (mfano ya 2015) inamaanisha ilikua haiendeshwi sana. Ilikua imepark. Hii ni mbaya kwa battery (hybrid battery) battery halitakiwi kukaa sana. Sijui kama umenielewa.

Alternative:
Kama mdau wa hybrid unaweza cheki Honda Fit ingawa ni ndogo ila utapata cheaper, Toyota Prius na Honda Insight pia bei nzuri.
 
Spear availability ipoje kwa bongo
 
Mkuu kwema?Asante sana kwa haya madini. Nimekaa nimewaza gari hybrid ya kununua,kichwani mwangu nilikuwa nawaza Prius,ila ya chini sana na mie nipo shamba. Nimekutana na hii Honda Venzel ila naona bei imechangamka sana. Asante sana kwa kuitambulisha Honda Insight sikuwahi kuijuia,nimeangalia specs zake naona ina CC ndogo sana 1300,vipi hii gari ukiilinganisha na PRIUS?
 
Unataka BP ya bure achana na Honda au Nissan ukiwa Tz, just go for Toyota, labda wewe mgeni wa magari au ni mara yako ya kwanza kununua magari, kama hutaki endelea kwa uchaguzi wako it seems kipato chako ni kidogo, so achana na Honda, nunua RAV4 Kill time yenye engine ya VVT-i CC 1800 kwa shamba utanishukuru milele na kufa haifi ng’ooo..!! Au kama una fedha kidogo nunua Vanguard..!! Achana na hiyo Honda
 
Mkuu kwema?Asante sana kwa haya madini. Nimekaa nimewaza gari hybrid ya kununua,kichwani mwangu nilikuwa nawaza Prius,ila ya chini sana na mie nipo shamba. Nimekutana na hii Honda Venzel ila naona bei imechangamka sana. Asante sana kwa kuitambulisha Honda Insight sikuwahi kuijuia,nimeangalia specs zake naona ina CC ndogo sana 1300,vipi hii gari ukiilinganisha na PRIUS?
Honda Insight na Prius ni wapinzani wa muda mrefu. Kama umependezwa na muonekano wa Insight, ichukue ni nzuri.

Ila kuna kitu umesema kimenishtua kidogo. Umesema "upo shamba" nachukulia kama upo "mkoani" sio city centre.

Sasa hapo issue ya Hybrid, naona kama hautaenjoy kabisa. Hybrid cars zinasave mafuta sana kwenye speed ndogo na foreni au ikiwa imesimama kabisa.

Sasa naona kabisa ukiwa shamba ngumu sana kufaidi iyo advantage? Au nakosea kitu hapa.
 
Ni kweli mkuu nipo Mkoani,Lakini haidhuru sitakaa milele huku...hapo juu kuna mdau kashauri niachane kabisa na Honda.
 
Nimeona ila hajatoa sababu.. Spare, mafundi au?

Kuhusu Durability, Dunia nzima, Honda inashika nafasi ya pili baada ya Toyota (&Lexus).
Screenshot_20240507-183801.png

Kuhusu spare, serious? Kama Mafundi wapo sana saaaana.
 
Nimeona ila hajatoa sababu.. Spare, mafundi au?

Kuhusu Durability, Dunia nzima, Honda inashika nafasi ya pili baada ya Toyota (&Lexus).
View attachment 2983551

Kuhusu spare, serious? Kama Mafundi wapo sana saaaana.
Asante mkuu,binafsi sijaiona hiyo Insight mtaani,Muonekano wake na prius ipi ni zaidi? na bei yake ipoje kulinganisha na Prius?
 
Insight ni cheaper kuliko Prius.
Tatizo la muonekano ni subjective, mi napenda Prius ilivyo wengine hawataki ata kuiona.
 
Back
Top Bottom