Kifurukutu JF-Expert Member Aug 29, 2013 4,628 6,669 Feb 18, 2017 #21 Wazabanga kuku said: Hivi naomba kuuliza mpaka sasa serikali kupitia TAMISEMI na utumishi wametoa kauli gani juu ya mustakabali wa ajira za walimu wa sanaa, manake naona wanataja taja tu walimu wa sayansi sasa hili kundi kubwa la walimu wa arts linapelekwa wapi? Click to expand... Ajira za sanaa hakuna! kalime matikiti huko In polepole voice
Wazabanga kuku said: Hivi naomba kuuliza mpaka sasa serikali kupitia TAMISEMI na utumishi wametoa kauli gani juu ya mustakabali wa ajira za walimu wa sanaa, manake naona wanataja taja tu walimu wa sayansi sasa hili kundi kubwa la walimu wa arts linapelekwa wapi? Click to expand... Ajira za sanaa hakuna! kalime matikiti huko In polepole voice
Bableyy Member Aug 4, 2014 72 20 Feb 20, 2017 #22 Duuuuhh huu wakati nishidaah thnx mungu kwa tuliyobahatika kabla ya mambo haya
F faraji omary Member Feb 18, 2017 10 3 Feb 20, 2017 #23 Tuma no yako nikufowadie ajira za walimu ....iringa , mtwara
M Madebwa jr Senior Member Jan 26, 2016 132 161 Feb 20, 2017 #24 faraji omary said: Tuma no yako nikufowadie ajira za walimu ....iringa , mtwara Click to expand... Ajira za walimu bado hazijatoka isije kuwa utapeli.
faraji omary said: Tuma no yako nikufowadie ajira za walimu ....iringa , mtwara Click to expand... Ajira za walimu bado hazijatoka isije kuwa utapeli.