Mwenye PC iliyovunjika screen please msaada was picha, isiwe imetolewa google please

fungi06

JF-Expert Member
Jul 1, 2020
718
994
Wakuu kama ilivyokuwa kichwa Cha ujumbe hapo juu. Niko under pressure ninatakiwa nifanye presentation kesho mchana na ninajiona kwa kila namna sijakamilisha some infos.

Please msaada wenu wanajamvi...picha ya PC iliyovunjika kioo. I hope msaada nitaupata please sio za google nitadakwa.
 
Kweli hauko proactive. Kwani kuna pc moja duniani? Dah
 
Wakuu kama ilivyokuwa kichwa Cha ujumbe hapo juu. Niko under pressure ninatakiwa nifanye presentation kesho mchana na ninajiona kwa kila namna sijakamilisha some infos.

Please msaada wenu wanajamvi...picha ya PC iliyovunjika kioo. I hope msaada nitaupata please sio za google nitadakwa.
Mkuu,

Vunja PC yako kioo kisha watumie.
 
Watoto wazembe kweli.

Yani dunia yenye ChatGPT na Canva. Dakika chache tu unatengeneza presentation, kisha hakiki taarifa kwa references za ukweli kisha peleka Canva unaistyle vizuri.

Zoezi lote hata 45minutes ushakamilisha kila kitu, ila unaleta uzembe wa kufikiri na kuleta excuses. Kwa style hii tegemea maumivu kwenye maisha yako
 
Huyo mvivu. Alafu asivyo na akili hajui hao nduguze wanaweza pata taarifa humu
 
Niki hapa nakuzoom nione picha apa utakayoitumia kesho ....badala ya kufanya kazi weekend umeenda kuruka juu ya meza unategemea nini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom