Huku upande wa kaskazini zipo nyingi muda mrefu zinatokea kenya naona ni rahisi kuzipata huku na pia bei yake itakua ipo chini sijui kwa sasa tunapoleke kileleni kwa kuzimwa simu nahisi wafanya biashara watakua wanapiga cha juu kidogo ila zilikwepo kwa wingiZinauzwa ngapi?