Sina woga itafuteni FB mtawaona hata ndugu zakeAcha woga tupia majina
SijakuelewaHuyo ashaharibiwa ujana tayari....kwa mujibu wa RC Dereva usimfollow achana nae...
Mbona naona kama maigizo hayo! Askali gani wataruhusu mtu apigwe picha wakimwelekeza mitutu ya bunduki - Serikali ya wapi hiyo?
Samahani, mimi ninacho kiona hapo ni mtu ametekwa njara - wanataka ransom ili walipwe, mbinu hizi ufanywa na majambazi na ma mafia si askali/Polisi.
Wanaweka picha za vitisho ili jamaa zake/ndugu watume hela za kumunusuru - nasikitika kusema kwamba instinct zangu zinanieleza kwamba wenda ikawa na yeye anahusika katika usanii huu - I am sorry kulisema hilo.
Nishasema siwataji naifahamu polisi ya nchi yangu ilivyo. Kama hiyo video imerushwa kwa ndugu zake hadi bondeni wanafahamu kwa nini Tz isijulikane!? Kinachonikera badala ya ndugu zake kumkemea kwa tabia hiyo ya upunda lkn wanalalamika kuwekwa bondi kwa ndugu yao.Kama unawajua mkuu
lete majina yao humu; wakasakwe.
Hebu itupie humu hiyo video....!!Unajua tokea jana nilipoiangalia hivyo video nilistuka.
Kwanza angalia tu hata wanavyompiga....ndo kupiga gani huko? Manake wanampapasa papasa tu.
Nimenusa harufu ya utapeli hapo. Si bure!
Bado weweUnajua tokea jana nilipoiangalia hivyo video nilistuka.
Kwanza angalia tu hata wanavyompiga....ndo kupiga gani huko? Manake wanampapasa papasa tu.
Nimenusa harufu ya utapeli hapo. Si bure!
Nina allergy na Facebook, anyway nipe title yake nikaisakeSina woga itafuteni FB mtawaona hata ndugu zake
Mbona yeye kawataja hata kwa majina ndugu zake na huyo Juma wa Kunduchi??Nishasema siwataji naifahamu polisi ya nchi yangu ilivyo. Kama hiyo video imerushwa kwa ndugu zake hadi bondeni wanafahamu kwa nini Tz isijulikane!? Kinachonikera badala ya ndugu zake kumkemea kwa tabia hiyo ya upunda lkn wanalalamika kuwekwa bondi kwa ndugu yao.
NB: Mnaokuja PM sitawajibu chochote na msipoteze muda.
Fanya hivi, naamini posti nyingi za wauza madawa Tanzania Magomeni imekuwa inatajwa sana. Tafuta mkaazi wa Magomeni Chemchem then jaribu kuulizia maana inshu imeliki sana. Hiyo picha ni video akimtaja ndugu yake na wazazi wake mimi nimetumia screen camera kuichukua.Nina allergy na Facebook, anyway nipe title yake nikaisake