kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,055
- 3,023
Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, baada ya kukaa na kufikilia sana nataka kununua jiko la gesi la Gesi la Plet 6 (4-Gesi + 2-Umeme), nina familia ya mimi na shemeji yenu tu na sitaki kuja kununua tena Jiko uko mbeleni ndio maana nimeamua ninunue la plet izo 6 (USHAURI UNARUHUSIWA).
Swali langu la msingi ni je ni Kampuni gani nzuri ya majiko ya aina iyo, maana nikipitia mtandaoni na madukani kwakweli majiko ni mengi sana mpaka yananichanganya.
Karibuni kwa ushauri
Swali langu la msingi ni je ni Kampuni gani nzuri ya majiko ya aina iyo, maana nikipitia mtandaoni na madukani kwakweli majiko ni mengi sana mpaka yananichanganya.
Karibuni kwa ushauri