Mwenge wa Uhuru kutembelea Shamba la Mananasi la Kikwete, ni Usaliti kwa Rais na Sera ya Viwanda

Mkuu sijakosea. Nmemanisha. Mkuu naomba nikuulize kitu. Unajua Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imetengewa bei gani kwa mwaka wa fedha 2017/18? Ukijua utaelewa nlichomanisha. Hata hivyo Serikali imeshafafanua kwamba sasa tunajenga Serikali ya Viwanda bila Kusema Kilimo kwanza kina Mapungufu gani.
I
Niambie bila mashamba ya miwa kiwanda kinatoa wapi malighafi
 
Ivo viwanda vitafanya kazi gani bila raw materials za kufanya hyo industrial processing?

Haukupaswa kuleta hii post kwa watu wazima ni AIBU kwako na nimeishia njiani kusoma pale uliposema sasa tunatekeleza sera ya viwanda na si kilimo kwanza.

You are lost.
Umesoma bajeti ya Kilimo? Kuna sehemu yoyote ulishawahi kumsikia rais Magufuli akitaja kilimo kwanza na BRN?
 
Ndio walipofikia CHADEMA hawana hoja ya kusimamia, toka walipoamua kumchukua nembo kuu ya ufisadi Afrika na duniani bwana Lwassa, sasa hivi wanaokota tu kila takataka. Mara njaa, mara ukame, mara tetemeko mara rambi rambi.
Mimi sijataja chama bali nazungumzia Sera. Tunaenda wapi kama taifa? Kauli mbiu ya Mwenge inahimiza Viwanda. Imekuaje Mwenge ukatembelee kilimo? Na kama mliona kilimo kinafaa, kwanini mliachana na KILIMO KWANZA na BRN?.
 
Mbona mwenge umezindua nyumba nyingi za kulala wageni na za watu binafsi,unashangaa shamba la mananasi?
 
malighafi ya viwanda vya juisi sio mananasi?
Nyie bavicha mnakunywa nini muda huu viroba vilivyopigwa marufuku?
 
I see kama akili ingekuwa inawekwa motuary
basi hii inatakiwa kuwahishwa. "Tufukie kilimo kwa ahadi ya viwanda!"
 
Back
Top Bottom