Tanzania ya viwanda itakuja kweli??
Hahahaa. Eti demu anakuomba simu ajipige selfie halafu umtumie Whatsapp.
Waboooongooooo!
Hivi huu uzi upo jukwaa la SIASA au MMU?acha kuwa kilaza ndugu sijasema watumia mitandao read between line...nimesema wanaopost vitu visivyokuwa na Tija mambo ya ngono tu yan they just dont see things in positive way..