Jasnira
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 608
- 381
halafu vijana tunalalamika hatupewi fursa za kazi wanachaguliwa vijana...hivi kwa akili kama za hivi let us be serious..mtu wa hivi unaweza kumuweka mahali akapiga kazi kweli? akili muda wote imetawaliwa na ngono...watu wa hivi kamwe hawafanikiwi maishani..Huku ndipo zilipozikwa akili za wajenzi wa taifa letu......