Mwanza: Sukari Leo inauzwa Tsh 3000

Leo nimefika kwenye duka fulani hapa Mwanza kununua sukari kwa matumizi ya nyumbani nikaambiwa bei ya sukari kwa kilo moja ni shs.3,000. Jamani Serikali inatupeleka wapi?.
sema wandugu lazima tujiulize serikali au viwanda vyetu vinauza kwa sh ngapi kwa hawa wanaonunua maduka ya jumla...umeme usio eleweka,usafiri, bei ya mafuta na principles za economics..yaani serikali isipotaka kushirikiana na wafanya biashara na kujua nini kina wasibu....chambers of commerce nadhani zitumike kuisaidia serikali...tatizo kubwa la serikali hii ni kufanya mambo bila kushirikisha wadau wa jambo husika....principles za economics shortage lazima bei itapanda tu
 
Ukifanya price ceiling au price floor at last lazima bei itarudi kwenye equilibrium...
hapo inategemea na supply iko vipi....you can not put price ceiling wakati shortage ya tani laki moja, je wao wananunua tsh kutoka kwa wazalishaji
 
meli toka Brazil mwezi mzima, mpaka imfikie mlaji + wk2 hapo itakuwa imefika 5000+
 
kuna haja ya kutumia busara na elimu zetu..
ukiona nguvu ndio mtaji hata mbu anazo !
 
Serekali kupitia waziri mkuu alisema wameagiza sukari kutoka njee ya nchi tuwe wavumilivu sukari itashuka bei siku si nyingi
 
Hapo ni bora kutumia ile falsafa ya '' kama keki hamna mle mikate''...! Kumbe maskini hata unga wenyewe haupo
 
Back
Top Bottom