MwanzaHii tanga? Jamani hadi naogopa kwenda kuangalia machungwa yangu,
MwanzaHii tanga? Jamani hadi naogopa kwenda kuangalia machungwa yangu,
wee vipi..polisi wanathaminiwa sana licha ya mapungufu yao. wacha uchonganishi.Kazi inayodharaulika hapa kwetu ni kazi ya upolisi! wananchi wanawadharau na serikali inawatumia tu kama ngazi ya kuvukia hasa kipindi cha uchaguzi!
Nchini kwetu mapolisi ndiyo wanalipwa mishahara midogo kulinganisha na kazi wanazofanya za kutulinda usiku na mchana.
wanaishi katika nyumba duni, maisha magumu, mishahara kidogo, posho zao huongezeka kipindi cha uchaguzi tu, wanatukanwa kila aina ya matusi.
Mapolisi wakistaafu baada ya muda maisha yanakuwa magumu kwao kuliko mstafu mwingine wa serikali hapa nchini! kama hamuamini hili mtafuteni kova baada ya miaka miwili.
cha ajabu mapolisi pamoja na kudharaulika bado wanaitii serikali na bado wanatulinda raia usiku na mchana..
Changamoto ni nyingi na tunajua serikali haiwanunulii vifaa vya kazi kama silaha za kisasa ila huwanunulia magari ya washa washa tu.
hongereni kwa kupambana na ujambazi hasa la jana mwanza.
Hongereni sana View attachment 353931 mapolisi hasa mapolisi wasio na vyeo Mungu awape moyo huu wa uvumilivu.
una mjua yule dada msema hovyo mitandaoni mwenye bifu na wadwanzi wenzake?
Jamani angalau kumetoke wa kuwatetea polisi. Kwa kweli wanafanya kazi katika mazingira magumu na hatarishi. Kwani wanapambana na majambazi huku wakiishi uraiani tena bila ulinzi wowote. Serekali ijewekee deadline ya mapolisi wooote wapate nyumba na waishi kambini kama zamani kazi yao ina rsik kubwa. maslahi yao yaboreshwe na waopaiwe vitendea kazi!Kazi inayodharaulika hapa kwetu ni kazi ya upolisi! wananchi wanawadharau na serikali inawatumia tu kama ngazi ya kuvukia hasa kipindi cha uchaguzi!
Nchini kwetu mapolisi ndiyo wanalipwa mishahara midogo kulinganisha na kazi wanazofanya za kutulinda usiku na mchana.
wanaishi katika nyumba duni, maisha magumu, mishahara kidogo, posho zao huongezeka kipindi cha uchaguzi tu, wanatukanwa kila aina ya matusi.
Mapolisi wakistaafu baada ya muda maisha yanakuwa magumu kwao kuliko mstafu mwingine wa serikali hapa nchini! kama hamuamini hili mtafuteni kova baada ya miaka miwili.
cha ajabu mapolisi pamoja na kudharaulika bado wanaitii serikali na bado wanatulinda raia usiku na mchana..
Changamoto ni nyingi na tunajua serikali haiwanunulii vifaa vya kazi kama silaha za kisasa ila huwanunulia magari ya washa washa tu.
hongereni kwa kupambana na ujambazi hasa la jana mwanza.
Hongereni sana View attachment 353931 mapolisi hasa mapolisi wasio na vyeo Mungu awape moyo huu wa uvumilivu.
duhMkuu umechanganya habari mbalimbali na kuifanya ni habari moja, picha zingine ni za mwanza
Mkuu umechanganya habari mbalimbali na kuifanya ni habari moja, picha zingine ni za mwanza
Soma hizo habari vizuriya mwanza ni ipi niitoe
una mjua yule dada msema hovyo mitandaoni mwenye bifu na wadwanzi wenzake?
We bado Una amiini taarifavza police???? Wapo kazini hao...Mleta Uzi acha ujinga na ushabiki wa kitoto. Kamanda Msangi kasema hivi , askari wa doria waliwatilia shaka watu wawili baada ya kutonywa taarifa zao na raia , ktk kufuatiliana huko jamaa walianza majibizano ya risasi na askari mmoja alitandikwa risasi mguuni lakin aakari nao walifanikiwa kumtandika mtu mmoja kati ya hao wawili risasi na kufariki.
Huyo Mwingine alizamia kwenye milima ya mawe na hajaonekana bado though wanaendlea kumsaka.
Bastola moja imekamatwa ambayo ndiyo iliyokua ikitumiwa na huyo marehemu. Hakuna cha Alshabab wala nini ni wazee wa kazi tu wa nchini humu humu.
Me ndio Jesca mwenyewe Mkuu.