Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 93,479
- 119,296
Usingekuja ningekuita so fast....
naona mrembo kaja Afghanistan kuulizia mwanaume mwenye ndevu..
kazi kwake
Ila umeona tarehe alojiunga?
Nahisi mwenyeji huyo....
Usingekuja ningekuita so fast....
naona mrembo kaja Afghanistan kuulizia mwanaume mwenye ndevu..
kazi kwake
Na ana miaka 46 kutokana na tarehe yake ya kuzaliwa 01. 01. 1970Ila umeona tarehe alojiunga?
Nahisi mwenyeji huyo....
Na ana miaka 46 kutokana na tarehe yake ya kuzaliwa 01. 01. 1970
Ha haaa namsubiri aje
Sasa kwa mujibu wa umri huo hayo mambo ya ku chat jamani si aseme tu au ndo action is louder than words?Na ana miaka 46 kutokana na tarehe yake ya kuzaliwa 01. 01. 1970
Huyu utakuta ni mke/mpenzi wa mtu..Anafanya hivi kumlusha roho mpenzi wake...Mshahara unaweza kuwa papuchiwajameni hiyo ni kazi gani na mshahara wake ni kiasi gani? ha ha ha ha ha