Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,928
Hii imekaa kaaje wakuu? Nina rafiki yangu ambaye kila muda ninapokuwa naye anaongelea ngono tu. Ukikuta anaongea na simu, basi ni simu za mitongozo. Mifukoni kwake anatembea na condom, yaani kiufupi ananuka ngono
Kila mwanamke anayekatiza mbele yake anatamani aloweshe dudu, yaani awe mmama, m'bibi, binti ama vidogoli, haulizi. Nafikiria kumkataa japo huwa tunasaidiana katika mambo ya hapa na pale. Kwenye makazi mapya tu majirani, lakini keshashikisha ukuta nyapu kama zote zinazotuzunguka, yuko tayari atumie pesa yoyote ile hata kama ni 200k ili tu kutimiza lengo, akiridhisha nafsi yake ndo anarudi kwako kukukopa hela ya kula ambayo nayo anaifanyia muamala mwingine wa mbususu
Kinachoniumiza zaidi, kala hadi shemeji yenu, japo si mke, ni mchumba tu, na uchumba umekufa. Hapa nilipo nimepigiwa simu eti yuko central, ni baadhi ya wazazi X kulalama kuwa anamchezea binti yao wa serikali
Hii imekaa kaa vipi?