Mwanaume: Kipi bora

vyote ni muhimu huwezi kuwa na ugali ukiwa na unga au maji peke yake
 
Kumuoa mwanamke anayekupenda na kukujali au kumuoa mwanamke unayempenda katika maisha.

Ningechagua both kwa sababu kinachounganisha watu kwenye ndoa ni upendo na upendo lazima uwepo pande zote mbili, yaani umpende mtu na yeye pia akupende. Tofauti na hapo hiyo ndoa lazima ije kuleta shida hapo mbeleni.
 
Nilimpenda kuna manzi fulani akanipelekesha mpaka nikamsamehe. Nikampata mwengine huyu alinipenda sana mpaka ikawa kero nikambwaga. Namkumbuka mpenzi wangu wa zamani tulipendana,tuligandana,tulizoweana maisha tu ndio yametufanya kutengana.
 
NAMI KUNA BNTI YAAANI HALI HANYWI NI MUDA WTE ANATK KUNICKIA NA VILIO KUNIKUMBUKA SHE REAL LOVE ME!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom