Mwanaume kama unatumia dk 1-3 kufanya mapenzi fanya mambo haya...

per1

Member
Aug 29, 2024
75
116
1. Jitahidi utumie supu ya dagaa chuku chuku kumbuka isiwekwe chumvi na mafuta (x5 kwa week).

2. Punguza vinywaji vyenye sukari kwa wingi au vyakula vyenye sukari nyingi badala yake tumia maji.

3. Achana na maji ya baridi ndio maji ya baridi achana nayo kunywa maji ya vugu vugu kama wachina.

4. Pata juice ya alovera mambo yatakuwa safi.

5. Jizoeshe kutafuna natafaka kama karanga kimtindo hii itakusaidia kula mihogo safi safi.

6. Chips iwe hamu kula chips zen kale ugali wako wa mtama au dona sembe sio poa sana

Ikiwa unafanya haya mambo hayaendi nione tupate miti shamba uoe hadi wanawake 7.

TUTAELEWANA TU.
 
swala la nguvu za kiume ni lipo kichwani zaidi how you trigger your mind on it
Umenena vyema kabisa tena limeathiri wengi kisaikolojia maana sehemu zingine zote wanaume wengi tumekubali kutofautiana yaani uwezo wa mwili mfano kukimbia, kutembea, nguvu ya kunyanyua vitu etc, pia chakula yaani mwingine anakula plate inajaa na kilemba na mwingine kiasi na mwingine anakunywa chai vikumbe 3 mwingine kimoja.

Ila kimbembe kwenye ngono sasa watu hawakubali kutofautiana wanataka kuwa sawa yaani kama mtu anapiga dakika 20 au 30, basi na wengine wanapambana watumie dakika hizo hizo na ndipo wanatumia nguvu kubwa kutafuta tiba kwa ugonjwa ambao hawana na kujikuta akili inapoteza mwelekeo kumbe kila mtu angepambana na hali inafika mahala nyuchi unaizoea kiasi mpaka unakuwa na uwezo wa kujizuia kama unavyozuia mkojo tu
 
Back
Top Bottom