Umeona eeh!, halafu hiyo avatar yako inanikumbusha kufikiria watu wanavyopitia njia ngumu, kwa uwezo mkubwa wa kiakili wanafanikiwa kufika UDOM wanaishia kuitwa "VILAZA!".
We acha tu hyo avatar no Mtoto wa kimasai anayetaman elimu lakin anaishia kuchunga nyumba. Ila watu kama hao wakipewa fursa wanakuwa na mafanikio sana na hata tungeweza kupunguza idadi ya vilaza