Mkuu, Merry Xmas...
Wanamuziki maarufu walotangulia mbele ya haki kwa mwaka 2016
David Bowie alifariki akiwa na miaka 67 mwezi Januari 2016 (picha na Press Association)
Prince alifariki terehe 21 April Mwaka 2016 (picha na Associate Press)..
Huyu mbona shoga kitambo tu!sijui wanawazaga nini hawa mpaka kufikia hatua ya kushughulikiwa!!Alikuwa shoga?????
Duh
Ushoga ndio condition mojawapo ya kuwa tajiri na maarufu.Huyu mbona shoga kitambo tu!sijui wanawazaga nini hawa mpaka kufikia hatua ya kushughulikiwa!!