Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,251
Inatibu vyoteHiyo ni kukojoa tu, haja kubwa je?
Pole mwaya!nimepitiwaa
Mkuu upo? hebu jaribu kuingia kwenye vile vitabu vyako uje kuokoa jahazi hapa.Duuh nilitaka nikushauri kukojoa ila kama hadi anakunya ngoja nisubiri wengine.
Sio ndogo 2 hata kubwa.Kuna thread niliwahi kuianzisha kuhusu hii hali,
Mkuu usifadhaike shemeji kaishapona tayari.
Tiba kwa mpenzi anayekojoa kitandani.
Haha nipo mkuu nilipotea kidogo ila nipo.Mkuu upo? hebu jaribu kuingia kwenye vile vitabu vyako uje kuokoa jahazi hapa.
Asante, nmesharekebisha, natamani hata hyo coment uliyonquote nirekebishe sijui ndo haiwezekanPole mwaya!
Mkuu hiki kiatu kimekua size kubwa sana,labda tuwakaribishe wakuu wa mambo waje watusaidia vijana.Haha nipo mkuu nilipotea kidogo ila nipo.
Aseeh hapa nimeshindwa siunaona hapo juu. Hiki kiatu kimenizidi aseeh
HahaMkuu hiki kiatu kimekua size kubwa sana,labda tuwakaribishe wakuu wa mambo waje watusaidia vijana.
Hata mimi naonanahis kama vile umetudanganya...
Kumbuka bado hajajifungua,na mara nyingi fistula ni kwa wale ambao wametoka kujifungua.Haha
Au labda ana fistula. Jamaa aende hospital wamchukue vipimo.
Labda kama alimficha jamaa. Haha zote probability.Kumbuka bado hajajifungua,na mara nyingi fistula ni kwa wale ambao wametoka kujifungua.
Hiyo kweli mkuuLabda kama alimficha jamaa. Haha zote probability.
Daah mtu kujisaidia kitandani anahitaji msaada saana aseeh. Chooni yenyewe tunaona tabu