Mkuu vipi we tayari?Very very true.Noted.
Inategemea mtu mwenyewe! Kuna watu hawana ndoa na wana 'peace of mind' vibaya mno.Mwanamke asiye na ndoa huwa kama hana sikio moja! Hana utulivu, masikio yake huwa kama searching network
Maisha ni maamuzi, ni kusimamia kile unachoamua.wacheni kututia ujinga, kwani wao si waoe tunawahusu nini!Inategemea mtu mwenyewe! Kuna watu hawana ndoa na wana 'peace of mind' vibaya mno.
Sio vibaya kujipa moyoWatu mkikosa wa kuoa mna stress! Acheni kutusumbua hata tusipoolewa tunafanikiwa na kuwa na furaha pia.
Watu mkikosa wa kuwaoa mnakuwaga wakali sana hata kwa kauli zenu mdomoni,, nani aliwadanganya kuwa huwa tuna stress?Watu mkikosa wa kuoa mna stress! Acheni kutusumbua hata tusipoolewa tunafanikiwa na kuwa na furaha pia.
Tupo hapa je' unataka kuolewa?Tatizo waowaji wamepungua sana
Umeona! Sasa unakuta mwanamke miaka 33 bado ameambatana na wazaz wake, wengine wanaona aibu nakuamua kuambatana na mageto, hii si kinyume kabsa na matakwa ya mungu!Sio vibaya kujipa moyo
lakin Mungu ameandika na amepiga na muhuri kwamba binti ataacha wazazi wake na ataambatana na mumewe.
Tatizo ni kuonekana kama changudoa flani hivi yaani zoa zoa kimtindo!Maisha ni maamuzi, ni kusimamia kile unachoamua.wacheni kututia ujinga, kwani wao si waoe tunawahusu nini!
Tatizo watu wanaamini kuwa ndoa ni fever kwa mwanamke, mnajidanganya!!! mwanamke anaweza kutoolewa na akaishi vizuri kuliko mwanaume asie oa.