Mwanamke msumbufu sana jamani.

Vicheche wawili ebu tulia na Uelezee Vizuri.. Umekumbwa na Nini? Huyo Mwanamke amekufanyaje? Je kama ni Member wa JF anatumia ID gani? Je Hao mawakala wake wapo humu JF? Ebu tufafanulie vizuri tukushauri Mkuu ukianza kuelezea kwa jabza siyo sawa.

Anza story iwe ya Mtiririko Mkuu so far umeunganisha story kama sita humo ndani.. Kuna Issue ya Walimu, Kuna issue ya washiakji zako kukuita Shoga, Kuna issue ya huyo mdada kuonekana ni mama mtu mzima, kuna issue ya kijiweni, Kunaa issue huyo dada kuwa na maisha mazuri kwao?

Ebu tulia elezea vizuri bwana story yako inatatulika Mkuu
 
mkuu nipe mda haya maisha nimeyachoka, nikiwa fresh ntaandika tena.
 
Hizi thread za wavulana naona skuizi zinazidi kutamalaki humu ndani.
Zamani niliziwea kuziona kutoka kwa Ke ndio walikua na threads za mambo ya kulalamika aiseeeeee.....
Bilashaka sooner tutarajie kuona threads za wavulana wakilalamika kugombea mabwana na dadazao
 
Wengi wanaweza wasikuelewe ila nilichoelewa huyo manzi kaamua kukufanyia umafia ili kukukomoa baada ya wewe kukataa penzi lake... Sasa ikichagizwa na uwezo wake wa kipato na hali yako basi ana uwezo wa kukufata hadi kwenye maisha yako binafsi tena bila wewe kujua au kutaka... Nakushauri uende kituo cha police na uripoti hili swala mwanzo mwisho kuanzia kuingilia privacy yako naamini utapata msaada lau hata yeye kuonywa kukuachia uhuru wako... Hili jambo sio la kucheka wajameni, kuna nguvu kubwa sana ktk pesa... Other side pole sana dogo....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom