Mwanamke kuamua kumbebea mimba mwanaume je ni kwa sababu ...

Wengine wanafanya hivyo waolewe na Huyo mwanaume tena pale unapokuta mwanamke ni hopeless ameshalala na wanaume hadi amechoooka kaona hapo kuna ahueni.
Sijawahi ona Dada anabeba mimba ili azae mtoto mwenye sura nzuri
We utakuwa ni analogy hujawshi kuona wamejaa kila kona
 
Na mwanaume unapofanya bila kinga unakuwa na mategemeo gani?
Wanawake nyie mkiamua bhana unaweza kufanya mbinu yoyote upate tu mimba,kama mmeenda kupima na kuaminiana na huwa mnaenda kavu akisema leo siko kwenye hatari unabishaje hapo ?
 
Mimi nikizaa,sababu itakuwa ni nimeamua kupata Mtoto kwa mda huo.na sio nampenda Sana mwanaume, au nije niolewe naye. Hapana.
 
Kumbe wote mnapenda kuzaa sasa maswali kwa mwnamke yanatoka wapi
Mwanamke ndiye hubeba mimba, mwanaume hata akimpa mimba mwanamke wala hana alama yoyote hivyo mwanamke ndiye ana nafasi kubwa ya kuamua nibebe mimba au hapana
 
Yote yaweza kuwa majibu kulingana na malengo ya mtu.Na ww mwanaume unapofanya mapenzi na mwanamke asiye mkeo bila kinga wategemea nini
 
Hata wewe kama huitaji mtoto kwa wakati huo unatakiwa kuzingatia utumiaji wa kings sababu kiumbe kinachozaliwa ni chenu wote.
Sawa chenu wote lakini kesi za wanaume kukataa mimba si unazisikia lakini ? Hapo wa kuwa makini ni mwanamke maana anaweza kudhani mtu wake anampenda sana na ataweza kukubali mimba kumbe mwenzie anawaza mwingine wa kuzaa nae.
 
Back
Top Bottom