Mwanamke anaenza kwa kupiga vizinga, fanya hima umgegede haraka iwezekanavyo vinginevyo atakufilisi

Hao ni wale wasio jitambua, nilishawahi kuwa na mchepuko mmoja hauombi pesa kabisa na ni mzuri sana, tumekuwa tukitoka sana sometimes tunaenda kujificha Bagamoyo tunakula bata, nimekua naye for more than 6 good Months kuna siku nilikuwa naye Hotel kubwa tunapata naye Starehe bili ililetwa nikiwa nipo washroom nikakuta amelipa alafu ni bili iliyochanganganywa na vinywaji nilivyo warushia jamaa zangu meza ya tatu ilikuwa zaidi ya laki moja, basi kuna namna nikajikuta namheshimu sana na sikuwa na mpango wa kubadirisha mchepuko, siku moja tukiwa starehe kuna jamaa yangu aliniambia anauza plot yake Kigamboni alikua anashida na pesa kama M17, mimi sikuwa vizuri kifedha nikamuambia siwezi kuinunua, yule dada akaomba kama vipi aione kwani anahitaji plot, Wkend moja tukaenda Kigamboni tukaiona na akawa yupo tayari kuinunua lakini naye akawa amepungukiwa M2 akaomba nimuazime, kwa jinsi tulivyokuwa tumeisha zoeana nilijisikia aibu kumpotezea, nikamuazima akailipia kila kitu na nilimsaidia michakato yote ya transfers na kila kitu na ameisha anza kurushia tofali moja baada ya jingine na sielewi kanifanya nini maana najisikia mzito kumkumbusha, nahisi nimeisha chunwa 2M. Kwahiyo mimi naona ni bora yule anayekuchukulia hivi vi-elf20 elfu20 huku akigegedwa kuliko yule asiye kupiga mzinga kabisa ipo siku utashirikishwa jambo utashindwa kuchomoka labda uwe katiri sana.
KAka mwanamke kama huyo kumuachia hio2M sio dhambi kabisa... Hio isamehe na isiluume wala nini.. Huo ndio uanaume blaza..japo nasikitika kidume mwingine ataluja kuishi kwenye hio plot uliyochangia kununua na kumgegeda huyo uliyesaidia kumnunulia tena usilu mzima wote kidume atakuwa anatwanga selfie
 
Simdai ila akinirudishia nitapata kigugumizi kuikataa!!
 
Hao ni wale wasio jitambua, nilishawahi kuwa na mchepuko mmoja hauombi pesa kabisa na ni mzuri sana, tumekuwa tukitoka sana sometimes tunaenda kujificha Bagamoyo tunakula bata, nimekua naye for more than 6 good Months kuna siku nilikuwa naye Hotel kubwa tunapata naye Starehe bili ililetwa nikiwa nipo washroom nikakuta amelipa alafu ni bili iliyochanganganywa na vinywaji nilivyo warushia jamaa zangu meza ya tatu ilikuwa zaidi ya laki moja, basi kuna namna nikajikuta namheshimu sana na sikuwa na mpango wa kubadirisha mchepuko, siku moja tukiwa starehe kuna jamaa yangu aliniambia anauza plot yake Kigamboni alikua anashida na pesa kama M17, mimi sikuwa vizuri kifedha nikamuambia siwezi kuinunua, yule dada akaomba kama vipi aione kwani anahitaji plot, Wkend moja tukaenda Kigamboni tukaiona na akawa yupo tayari kuinunua lakini naye akawa amepungukiwa M2 akaomba nimuazime, kwa jinsi tulivyokuwa tumeisha zoeana nilijisikia aibu kumpotezea, nikamuazima akailipia kila kitu na nilimsaidia michakato yote ya transfers na kila kitu na ameisha anza kurushia tofali moja baada ya jingine na sielewi kanifanya nini maana najisikia mzito kumkumbusha, nahisi nimeisha chunwa 2M. Kwahiyo mimi naona ni bora yule anayekuchukulia hivi vi-elf20 elfu20 huku akigegedwa kuliko yule asiye kupiga mzinga kabisa ipo siku utashirikishwa jambo utashindwa kuchomoka labda uwe katiri sana.
Mh brother kwa hili mimi sioni shida sana. Inaonekana ana malengo na wewe. Ila hata kama hana atleast anajielewa unapigwa mzinga kwa vitu vya msingi. Hizi mambo za mizinga ya vocha, saluni na shopping ndio inakera sana kaka.
 
Hao ni wale wasio jitambua, nilishawahi kuwa na mchepuko mmoja hauombi pesa kabisa na ni mzuri sana, tumekuwa tukitoka sana sometimes tunaenda kujificha Bagamoyo tunakula bata, nimekua naye for more than 6 good Months kuna siku nilikuwa naye Hotel kubwa tunapata naye Starehe bili ililetwa nikiwa nipo washroom nikakuta amelipa alafu ni bili iliyochanganganywa na vinywaji nilivyo warushia jamaa zangu meza ya tatu ilikuwa zaidi ya laki moja, basi kuna namna nikajikuta namheshimu sana na sikuwa na mpango wa kubadirisha mchepuko, siku moja tukiwa starehe kuna jamaa yangu aliniambia anauza plot yake Kigamboni alikua anashida na pesa kama M17, mimi sikuwa vizuri kifedha nikamuambia siwezi kuinunua, yule dada akaomba kama vipi aione kwani anahitaji plot, Wkend moja tukaenda Kigamboni tukaiona na akawa yupo tayari kuinunua lakini naye akawa amepungukiwa M2 akaomba nimuazime, kwa jinsi tulivyokuwa tumeisha zoeana nilijisikia aibu kumpotezea, nikamuazima akailipia kila kitu na nilimsaidia michakato yote ya transfers na kila kitu na ameisha anza kurushia tofali moja baada ya jingine na sielewi kanifanya nini maana najisikia mzito kumkumbusha, nahisi nimeisha chunwa 2M. Kwahiyo mimi naona ni bora yule anayekuchukulia hivi vi-elf20 elfu20 huku akigegedwa kuliko yule asiye kupiga mzinga kabisa ipo siku utashirikishwa jambo utashindwa kuchomoka labda uwe katiri sana.
Umeshasema mchepuko braza, mchepuko haugegedwi bure hata siku moja. ipo siku utalipa tu hata kama sio pesa.
 
dah labda umepata mke bro!
 
dah mm huwa natoa sadaki mara ya kwanza ila mzinga wa pili huwa nahakikisha papuchi inakuja ata iwe siku tumejuana... coz huo mzinga wa kwanza huwa ni wa kumueka mkingoni ili vuta kauhaminifu
 
Kuna mwanamke alitaka kunipakazia msala wa kama M5 hivi eti anakopa. Hajapatapo kuniona hadi leo hii. Ni miaka miwili sasa
 
habarini wakuu

Hawa wadada wasikuhizi ni hatari sana,kwao mizinga imekua kama fashion,ukikaa vibaya utaliwa hela zako na papuchi usipewe,hivyo basi jali muda bwa sheee

nakumbuka nilikutana na mdada mmoja,ni mzuri kwa umbo kifupi amekamilika,amesoma na anakazi yake inayomwezesha asikose hela ya sabuni.nikajua ni wife mtarajiwa,nikazama mzima mzima,hazijapita siku mbili ikaanza mizinga,ooh nitumie 30 nikasuke,nikasema poa, siku mbili tatu,20 nikasema duu,ok

nikasema huyu hatakiwi kuzidishiwa hata wiki mbili,lazma agegedwe kwanza,maana atanitia hasara,mipango akapangwa akagegedwa na mawasiliano yakaisha siku hiyo hiyo

pia kuna jamaangu kampenda mtoto wa kinyaturu,jamaa kapewa sharti wasigegedane kwanza,lakini wiki ya kwanza jamaa kapigwa kizinga cha 80,sasa hadi waje waoane siatakua kapoteza mamilioni?na huenda akaja kumkataa huko mbeleni.

dawa ya hawa wanawake wa mwendokasi honga lakini jali mda wa kumgegeda kwanza,fanya ifanyavyo usizidi WIKI 2 HUJAGEGEDA,ukishagegeda hua akili kidoogo zinawarudi,lakini ukizubaa atakufilisi

na huu uchumi wa magu,itakula kwako
Ushauri wa maaana sana, mwenye macho na aone!
 
Mambo mengine bwana,yaani wiki mbili nzima umekaa tu bila ya kugegeda kweli?

Tuwe serious guys,maximum ni 3days basi.
 
Hao ni wale wasio jitambua, nilishawahi kuwa na mchepuko mmoja hauombi pesa kabisa na ni mzuri sana, tumekuwa tukitoka sana sometimes tunaenda kujificha Bagamoyo tunakula bata, nimekua naye for more than 6 good Months kuna siku nilikuwa naye Hotel kubwa tunapata naye Starehe bili ililetwa nikiwa nipo washroom nikakuta amelipa alafu ni bili iliyochanganganywa na vinywaji nilivyo warushia jamaa zangu meza ya tatu ilikuwa zaidi ya laki moja, basi kuna namna nikajikuta namheshimu sana na sikuwa na mpango wa kubadirisha mchepuko, siku moja tukiwa starehe kuna jamaa yangu aliniambia anauza plot yake Kigamboni alikua anashida na pesa kama M17, mimi sikuwa vizuri kifedha nikamuambia siwezi kuinunua, yule dada akaomba kama vipi aione kwani anahitaji plot, Wkend moja tukaenda Kigamboni tukaiona na akawa yupo tayari kuinunua lakini naye akawa amepungukiwa M2 akaomba nimuazime, kwa jinsi tulivyokuwa tumeisha zoeana nilijisikia aibu kumpotezea, nikamuazima akailipia kila kitu na nilimsaidia michakato yote ya transfers na kila kitu na ameisha anza kurushia tofali moja baada ya jingine na sielewi kanifanya nini maana najisikia mzito kumkumbusha, nahisi nimeisha chunwa 2M. Kwahiyo mimi naona ni bora yule anayekuchukulia hivi vi-elf20 elfu20 huku akigegedwa kuliko yule asiye kupiga mzinga kabisa ipo siku utashirikishwa jambo utashindwa kuchomoka labda uwe katiri sana.

Hahahahahahaaa huyo alikupanga ukapangika.
 
Back
Top Bottom