Duh kumbe kweliView attachment 322784
MWANAMKE ALIYEPAMBANA NA MAJAMBAZI AZAWADIWA LAKI TANO
Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya yampa zawadi ya Laki tano Bi Sophia Manguye Mkazi wa kata ya Sirari wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya silaha aina ya SMG.
Source:East Africa Tv
good ideaWekeni namba yake yasimu raia tumpe zawadi kwa kutupunguzia wa halifu naona jeshi la polisi linacheza tu hapa!
Hii zawadi ilitakiwa itolewe kimya kimya, halafu na polisi wa kawaida mmoja tu. Hapo wamemhatarishia usalama wake na familia yake. Huko vijijini laki tano ni hela ndefu sana. Kuna watu mpaka wanahama duniani bila kuishika.
Moyo wa kutoana roho, uwiii uwiiii uwiii yelewii eehUnajua kupambana na mtu mwenye silaha na kuweza kumnyanganya si jambo dogo. Zawadi aliyopewa hailingani na thamani ya silaha aliyoipokonya na uhalifu ambao ingelifanya ni bora aongezewe ili kuwapa moyo watu wengine.
Haha kuna ukweli hapa maana hata hao majambazi na SMG yao walikua wameiba laki na themaniniHii zawadi ilitakiwa itolewe kimya kimya, halafu na polisi wa kawaida mmoja tu. Hapo wamemhatarishia usalama wake na familia yake. Huko vijijini laki tano ni hela ndefu sana. Kuna watu mpaka wanahama duniani bila kuishika.