Kama Mwakyembe ni kiongozi mwenye tafakuri ya kina atagundua kuwa time-span yake ni fupi katika serikali ya awamu ya tano, nafasi yake ipo mashakani.
Hii n kwasababu ya mwenendo wa kisiasa uliomfanya Mh Nape kuondolewa katika nyadhifa yake ya uwaziri katika wizara anayoihudumia sasa Dr mwakyembe.
MANTIKI IPO WAPI?
Alipotenguliwa Mh Nape kwnye wizara ya habari alichaguliwa Dr Mwakyembe ambaye alikuwa kwny wizara ya katiba na sheria na kwenda kushika nafasi ya Mh NAape wizara ya habari.
Kama ushikaji wa wizara hauhusiani na elimu ya wizara husika unayoenda kuhudumia, na kama mwakyembe alikuwa salama ktika wizara ya sheria basi Prof kabudi angepelekwa moja kwa moja katika wizara ya habari, kushika nafasi ya nape na Mwakyembe angeendelea kwenye Katiba na sheria. ( kama ingekuwa hivyo, basi tatizo lingekuwa kwny wizara ya habari tu. yasingehitaji mabadiliko katika wizara nyingine.)
KWA NINI PROF KABUDI KAPELEKWA SHERIA?
Ni wazi kuwa weakness aliyokuwa nayo Dr Mwakyembe kushindwa kuzuia baadhi ya mambo ambayo yangetakiwa yasitokee kwa kutumia zuio la kisheria ambalo mara zote alishindwa na wapinzani ambao alitarajia kuzuia yasitokee. ( jaribio la mwisho lilikuwa ni kuzuia lissu asiwe mgombea wa TLS il mpaka sasa ndiye rais wa TLS)
Hivyo basi, kuteleza kwa Mh Nape ndo kumempa nafasi ya pili Dr mwakyembe nafasi ya pili kushika wizara mbadala ya ile aliyoanza nayo kwa kuoneka kuwa Pro kabudi atafanya vizzuri zaidi ya mwakyembe katika sheria lakini mwakyembe ana nafuu kidogo ya kuendelea kuwepo kuliko nape. Ndio maana wakaona watengue kule, huyu wampelekee kule, then sub mpya iingie pale kwnye mapungufu yao.
Dr. take care...watch it. uko kwnye mizani akipatikana wa habari wanaemtaka.