Mwakyembe:Tukio la uvamizi Clouds ni la jinai

Hawa wasomi wetu ni balaa kabisa,
Sasa yeye aliikataa ile ripoti ya mwanzo akasema atafanya uchunguzi mpya, anachokisema ndio matokeo ya huo uchunguzi?

Hapa kuna "muvi" inatengenezwa
Unafiki ndio kitu walichojaliwa!
 
Siasa siasani.
Utoilet paper ni mwingi sana katika si-hasa.
Yaani wanataka waanzishe episode nyingine ile wapate front page.
Very ridiculous, tantamount, boring and useless rubish to deals with politicians.
Na kwa jinsi wananchi wengi walivyo vichwa vya kuku watawaamini hawa jamaa na mpaka kufikia 2019 wengi wataishabikia tena ccm na kuvaa mavazi ya kijani na kujazana kwenye maroli nyambaf.!
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
Kama LA jinai mbona hajakamatwa ,hawa viongozi matumbo watalipeleka taifa pabaya,hivi toka lini mtuhumiwa wa kosa LA jinai akatafutiwa muda maalum wa kuhojiwa badala ya kukamatwa,katiba na sheria za nchi zimensjisiwa na kubakwa
 
Yaani mwalifu wa uvamizi wa kutumia silaha waziri anatafuta viongozi wenzake wakamuhoji maswali 9,nchi imeingiliwa kinyume na maumbile,sasa kazi ya polisi na mahakama nini,eti nayeye apewe haki ya kujieleza
 
What does this imply? That finally they have realised that Bashite is a liability rather than an asset?
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
Naomba nikiri kwamba sijawahi kumwamini Mwakyembe na sitarajii kuja kumwamini milele .
 
Hapa kuna kitu, sio bure.
Nadhani lengo ni kuwahi kumpeleka mahakamani ili bunge lisiweze kumjadili kwa kuwa kesi ipo mahakamani, na pia mkulu kaiweka mahakama mfukoni hivyo ni rahisi kuipangia maamuzi kuliko bunge ambako wote wamevurugwa vichwani mwao.

Ngoja tusubiri next epsode
Usisahau, Bungeni Naibu Spika ni Mhe. Tulia ambaye ni mteule wa Mhe Rais. Lakini kuna hili pia, kwamba bungeni kuna utitiri wa wabunge ambao Mhe Rais haoni kama wengi wao wana sifa za kuteuliwa kuwa mawaziri
 
Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu

Kumbana Makonda kwa maswali tisa.

Chanzo:

Nipashe

Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?

Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?

Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?

Wacha tusubiri.
una uhakika na hicho kijarida?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom