Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,673
- 149,860
Naona Mheshimiwa ameamua kulimaliza hili suala la Makonda ili arejeshee heshima yake kitaifa na kimataifa.Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.
Kumbana Makonda kwa maswali tisa.
Chanzo:
Nipashe
Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?
Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?
Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?
Wacha tusubiri.
Baada ya kuona hii new, atampigia simu mkuu wa kaya kumwambia kua "kuna sisimizi anayeitwa mwakwembe anasema kauchokaa uwaziri"Paul Makonda njoo huku kuna big news
Naye anakuwa kama mtoto wa kambo kila jambo kusemeaBaada ya kuona hii new, atampigia simu mkuu wa kaya kumwambia kua "kuna sisimizi anayeitwa mwakwembe anasema kauchokaa uwaziri"
Si anasema report ya kamat ya nape haikuwa na Natural Justice?Mwakyembe asema tukio la uvamizi Couds ni jinai hivyo haliwezi kuachwa lipite tu.
Kumbana Makonda kwa maswali tisa.
Chanzo:
Nipashe
Huyu kaamua kujilipua tu au ametumwa na mkulu?
Je,wameanza kumgeuka baada ya kugundua anawagharimu?
Au hii ni episode tu kama zingine zilizopita?
Wacha tusubiri.
Yy mbona ktk repot ya richmond alihoji wote mpaka akaenda marekani lakini akashindwa kumhoji waziri mkuu mh mh Edward lowassa ofisi za bunge Na ofisi za waziri mkuu hazina umbali.... Au lengo lilikuwa ni uwaziri mkuu wa lowassa... Tunataka baahite ashughulikiwe sawasawa Na matendo Yake...Si anasema report ya kamat ya nape haikuwa na Natural Justice?