Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,386
Inashangaza kidogo ila ndio ukweli.Mwaka 2015 wakati wa Uchaguzi mkuu Hayati Edward Lowassa aligombea urais kwa Tiketi ya Upinzani.
Ili kuhakikisha Wapinzani hawarushiani Matokeo na kuyajumlisha TCRA walizima Internet Nchi nzima.
Mwaka 2024 TCRA hao hao Wamewasha Internet BURE huko kijijini kwake Monduli wakati Edward Lowassa anasubiriwa kuzikwa ili Waombolezaji Watume Picha za Mazishini.
Hiyo ndio TANZANIA.