Sio uzushi, imetokea majuzi kati, hata mimi mpaka leo najiulizaNiuzushi mtupu mleta mada,usitufanye watoto wadogo, wacha ujinga
"Picha duka"Wanasayansi mtalielezeaje tukio hili lililotokea Thailand ambako mvua imenyesha na kudondosha samaki pia toka angani..... Mlizoea barafu kudondoka toka juu. Sasa samaki wamenyesha sambamba na mvua toka angani...
mkuu labda ungetupa chanzo cha habariWanasayansi mtalielezeaje tukio hili lililotokea Thailand ambako mvua imenyesha na kudondosha samaki pia toka angani..... Mlizoea barafu kudondoka toka juu. Sasa samaki wamenyesha sambamba na mvua toka angani...
Maelezo yako yameshibaHii issue ni uzushi. Watu wamekuwa wanasambaza habari bila hata kujua chanzo au undani wake.
1. Baadhi ya picha zinazosambaa za samaki waliojazana barabarani hawahusiani na mvua,kuna lori lilikuwa na 19k tonnes za samaki,ila kwa bahati mbaya mlango ulifunguka samaki wakamwagika wengi tu road,na kwavile lilikiwa speed sana ilichukua muda kusimama hivyo samaki walitapajaa wengine tu barabarani.
2. Picha zingine zimetolewa ktk series ya fargo( season 1) kwa wale wanaoijua hii series,kuna muda ilitokea mvua ya samaki,samaki wengi wakazagaa barabarani na mitaani wakisabisha ajari.
Fish rain?? Hakuna kitu kama hicho wakuu.
Ni majuzi au Mwaka Majuzi?...maana hizi picha kwangu zipo toka 2012...Sio uzushi, imetokea majuzi kati, hata mimi mpaka leo najiuliza
Yes, hiki ni kimbuga kinacho wasomba smaki kutoka baharini na kuwatupa nchi kavu, hii inaitwa SUPER NATURAL.Actually sio mvua ya samaki, bali ni kimbunga ambacho kimezoa samaki sehem flan na kuja kuwatupa sehem nyingine!
Ni kama vzile mvua zenye upepo mkali zinazoezua mabati, kama upepo ukiwa mkubwa sana inaweza beba mabati ya kijiji kizima na kwenda kuyatupa sehem nyingine, the same principle hapo imeapply kwa hao samaki.