Mvua kubwa yanyesha Handeni mjini usiku huu

Haya mambo ya kulima kutegemea mvua yashapitwa na wakati, karne inaelekea ya 22 bado mnatumia mbinu za enzi za mitume??
 
Subiri wale jamaa ambao kampeni zao zilikuwa ni njaaaa. Tutawaona watabadilisha wapi hizo siasa zao. Eee Mungu ibariki handeni na wajalie wanainchi wake wafanye kaziii kwa bidiii
 
Ukawa waomba njaa roho zinawasuta,ahahaha
Mhh bwana yule katika tu mvua kila sehemu,dar usiku imepiga vua hilo balaa,huyo mungu alokuwa anaomba mumuombee mhh ......alidhani mungu wa kweli hamuoni?
 
Subiri wale jamaa ambao kampeni zao zilikuwa ni njaaaa. Tutawaona watabadilisha wapi hizo siasa zao. Eee Mungu ibariki handeni na wajalie wanainchi wake wafanye kaziii kwa bidiii
Kwa kweli maana mvua imeshashusha chakula tayari. Kila mwananchi anacho chakula kilicholetwa na mvua ya leo usiku.
 
roho mbaya na madhamb ya cccm had mvua imepungua, iknyesha baadh ya maeneo watu wanafanya shereh, na kutangaza.
 
Halafu bado inanyesha mpaka time hizi, njaa haina ukada jamani, pengine kushindia maembe kutaisha kabisha.
 
Wapuuzi kabisa..

Sasa hivi mtaanza kusema kunyesha kwa mvua ni mafanikio ya serikali ya CCM.

Kumbe kuna wenye gundu wakiwa hawapo tu mvua zinanyesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…