Unapovuka pale kivukoni na kigari chako, wasimamizi wa vivuko wanakataza magari kuvuka yakiwa na abiria ndani.
Hatua hii inaleta usumbufu sana kwa wahusika mara wanapofika hapo na usafiri na kuanza kutenganishwa.
Hivi katika karne hii hakuna njia nyingine inayoweza kufanywa watu wakavuka lwa usalama badala ya kukikimbilia njia rahisi ya kuwashusha watu kwenye usafiri na unakuta wengine ni wagonjwa.
Mkuu. Huo ugumu wa kumwokoa mtu unatoka wapi. Kwani vioo vya gari si huwa vinashushwa?Tupunguze ujuaji. Meli yenyewe ikizama, watu wote huondolewa kwenye cabin. Unapokaa ndani ya gari, pakitokea emergency wewe unaongeza ugumu wa uokozi.
Shuka mwenye toroli lako au nenda darajani, kule hakuna kushuka.
Haaahaa mkuu unatumia kadhia ya msongamamo kung'oa warembo.1.Usalama wako unazingatiwa. Kuna wakati tumeshuhudia gari zikizama pale. Nguvu ya kumuokoa mhanga mmoja ni ndogo kuliko wengi.
2.Kuongeza mapato. Mkishuka wengine mkapita kwenye geti la abiria pale, mapato yanapanda. Kuliko mngejifungia kwenye gari halafu wote mkavuka kwa gharama za gari.
3.Angalau mara mojamoja tupigane vikumbo. Wewe kutwa nzima hakuna anaekugusa kwakuwa upo kwenye gari lako, full kiyoyozi, hata ukiambiwa dar joto familia nzima mnashangaa. Hebu tokeni huko mjichanganye kidogo
4. Pale ndio kituo cha kupatia namba za watoto wazuri ambao angalau utakuwa unauhakika kweli baba yake ana gari. Kwasie watoto wa uswazi huwa tunajivukisha hata mara kumi tukizisaka namba.
5.Wote tubugie harufu ya shombo, we nani ubaki garini. Tena ikibidi na madereva wazuiwe kufunga vioo wakibaki.
Nashukuru hii ya 1-2 nilikuwa sielewi y,lakini hizo sababu zngne zmenifanya ncheke hasa ya vikumbo1.Usalama wako unazingatiwa. Kuna wakati tumeshuhudia gari zikizama pale. Nguvu ya kumuokoa mhanga mmoja ni ndogo kuliko wengi.
2.Kuongeza mapato. Mkishuka wengine mkapita kwenye geti la abiria pale, mapato yanapanda. Kuliko mngejifungia kwenye gari halafu wote mkavuka kwa gharama za gari.
3.Angalau mara mojamoja tupigane vikumbo. Wewe kutwa nzima hakuna anaekugusa kwakuwa upo kwenye gari lako, full kiyoyozi, hata ukiambiwa dar joto familia nzima mnashangaa. Hebu tokeni huko mjichanganye kidogo
4. Pale ndio kituo cha kupatia namba za watoto wazuri ambao angalau utakuwa unauhakika kweli baba yake ana gari. Kwasie watoto wa uswazi huwa tunajivukisha hata mara kumi tukizisaka namba.
5.Wote tubugie harufu ya shombo, we nani ubaki garini. Tena ikibidi na madereva wazuiwe kufunga vioo wakibaki.
Itakua ni mgeni mjini watu kibao wameshakufa miaka ya nyuma wakiwa kwenye magari baada ya kupitiliza na kuzamaMkuu. Huo ugumu wa kumwokoa mtu unatoka wapi. Kwani vioo vya gari si huwa vinashushwa?
Mtoka pabaya haujatembea kufa hapa Tz hapa karibu tu kenya mombasa viko vivuko nne na kila kivuko limepangiwa taratibu vivuko viwili vinashughulikia magari na ndani ya hayo magari kuna watu na viwili vinashughulikia watumiaji wa miguu sijakuwambia misri,uk na NorwayTupunguze ujuaji. Meli yenyewe ikizama, watu wote huondolewa kwenye cabin. Unapokaa ndani ya gari, pakitokea emergency wewe unaongeza ugumu wa uokozi.
Shuka mwenye toroli lako au nenda darajani, kule hakuna kushuka.