Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Kazi nzuri RAIS .sasa hawa wanafunzi wetu baada ya mda wamiezi 3 utakuta vyoo havifanyi kazi makabati wametoa milango haina vtasa yaani jengo lishachoka mapema.bila kusahau kunguni
Tunaweza kuwalaumu lakini je quality ya hivyo vitasa,mabomba,makabati ikoje? Maanake matumizi ya bweni sio sawa na ya kawaida nyumbani.
 
Habari za humu wana jf?
Napenda kuwaletea habari njema kwa wapenzi wa mgahawa maarufu sana hapa jijini Dar Es salaam wa KFC kuwa wameanzisha huduma ya delivery ndani ya hili la dar.

Unaletewa chakula popote ulipo kwa ndani ya dk 30.

Unaweza kutoa order yako kwa kupiga namba 0764 700 300 na 0763 532 536 au unaweza kutoa order yako online kupitia www.kf.co.tz

Unaletewa chakula ukiwa ofisini, nyumbani, saloon na sehemu yoyote ile ndani ya dar.

Huduma ya delivery ni kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 4 usiku.

Karibuni sana kwenye migahawa yetu ya KFC ambayo ipo Mlimani mall, Mikocheni, Masaki, Posta kwenye jengo la Diamond na Kariakoo maeneo ya fire

Wewe kweli unajua kutumia fursa.

Umebaka thread ya mtu.
 
Waungwana nina vijiswali vidogo kuhusu hizo picha.
Kuna picha mbili hapo anaonekana Waziri Mkuu msitaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, lakini hiyo picha ya mwisho wanaonekana pamoja viongozi mbalimbali waalikwa pamoja na Rais ,Warioba hayupo.
Je! Warioba alikwenda hapo kama nani?
Kwanini hayupo kwenye picha ya pamoja?
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?

ACHA UJINGA,WALIO DESIGN WALIANGALIA VYOTE ,LOCKER, SEHEMU YA KUSOMEA JOTO N.K SI BUSARA KUKOSOA HATA USIYO YAJUA. KWA HILI ALILOTEKELEZA MH. HATUNA BUDI KUPONGEZA KAMA HUTAKI SHAURI YAKO . WEWE "VEEEPE"?
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?
Kusema ukwel hapo wameharibu ,coz ni usumbufu mkubwa sana katika kutunza vitu kweny hayo malocker pia meza ya kusomea hawawez kukaa watu wanne hapo wakatosha zaidi ni kusumbuan tu wakat wa kusoma,,, wameharibu sana kiukwel bt nd vitu vya cheap cheap ivo watafanyj sas
 
Kwa nini lakini wanajenga kama bweni la secondary? Hivi wanachuo kuwaweka wanne chumba kimoja kisicho jiko wala sehemu ya kuongelea, na bado wengine hawana mahala pa kufanyia kazi, siyo kupiga hatua nyuma kimaendeleo huku?

Nilitazamia partitions zitafanyika zenye hadhi ya chuo, ambazo hazichuji leo kwa wanafunzi wa ndani na hata wanaotoka nje. Halafu tena wakikusanya nguvu wanedelee kupanua.

Mtanisamehe lakini hii imenivunja moyo na ninaona ni sawa na wajenzi wa barabara nyembamba sisizo na reserve huku wakijua matumizi ya barabara yanaongezeka na population pamoja na maendeleo.

UKweli kama zote ziko hivyo ndani, bado sana sana sana. Tuache kufanya vitu kwa kutatua matatizo yaliyopo tu tena kwa dharura. Tujenge miundo mbinu inayoashiria uelewa na maono mapana juu ya maendeleo.

Tunahitaji kuondokana na dhana ya umaskini ya kuona bora hata vibanda umiza. Ni vyema tukaamua kutransform minds zetu na kubadili taifa katika kila tulipangalo na kulifanya. Hapa ninaoan ni tangazo la umaskini wa mali na fikra ambao ni endelevu. Nani atabdili nchi yangu?

Pengine tuwe na serikali nyingine mpya yenye mawazo na mrengo wa kisasa zaidi . Hili limenivunja moyo. Hakuna maono.


Changamoto itakayojitokeza kwa sasa ni utunzani wa mabweni hasa kwa ndani.

Baada ya changamoto moja kumalizika, kwa sasa changamoto iliyoko mbele ni utunzani.

Penye nia pana njia na kupanga ni kuchagua.

Polepole tutafika tu!



IMGS0315.JPG

IMGS0317.JPG

IMGS0322.JPG

Rais Magufuli na Mama Magufuli wakiangalia samani ndani ya mabweni.

IMGS0326.JPG

IMGS0300.JPG

Jaji Joseph Warioba na Rais Magufuli wakibadilisha mawazo baada ya kukagua mabweni mapya USDM.
IMGS0333.JPG
 
ACHA UJINGA,WALIO DESIGN WALIANGALIA VYOTE ,LOCKER, SEHEMU YA KUSOMEA JOTO N.K SI BUSARA KUKOSOA HATA USIYO YAJUA. KWA HILI ALILOTEKELEZA MH. HATUNA BUDI KUPONGEZA KAMA HUTAKI SHAURI YAKO . WEWE "VEEEPE"?
Mkuu usibishie vitu usivovijua,, nenda udom college of health ,, iyo designing ya hizo hostel za udsm nd ipo ivo ivo na kule udom weny colej ya Afya,,, ni full usumbufu tuu,, kutunza vifaa ni hovyo, kusoma rum hovyo, inshort huyo designer nae ni hovyo tuu!!!
 
Back
Top Bottom