Msambichaka Mkinga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 1,649
- 2,911
Afrika sijui kwa nini tumelaanika kiasi hiki. Afrika inaongoza kwa udikteta, Afrika inaongoza kwa ubadhirifu na rushwa, Afrika inaongoza kwa umaskini, Afrika inaongoza kwa ugandamizaji, n.k.
Udikteta umeshamiri Afrika lakini viongozi wa Afrika wanataka washtakiwa wa ICC zaidi watoke Ulaya, kama hawapo wa Ulaya, wao wanajitoa. Halafu kwa ujinga wa ajabu, kuna wanaoshangilia kusiwepo mahali popote viongozi madikteta na wauaji kutoka Afrika ambapo watapelekwa kujibu uovu wao!