Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 333
- Thread starter
- #41
Mimi siwezi mpagani hawezi kuniokoa na moto wakati mwenyewe anahitaji uwokoziMkristo ni mtu aliyempokea YESU (Okoka) kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake.
Mimi siwezi mpagani hawezi kuniokoa na moto wakati mwenyewe anahitaji uwokoziMkristo ni mtu aliyempokea YESU (Okoka) kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yake.
Mkuu hebu niambie imani/msimamo wako ni upi ili tuone kama huo msimamo wako nao hauna makosa pengine unaweza kuwashawishi watu wakawa na huo msimamoNyie watu mtapata tabu sana kuja kunishawishi mpk nizifate dini! kama nyinyi kwa nyinyi mnabishana na kila siku longolongo,nini u perfect wa hao Mungu wenu..?
hivi huyo Mungu anaesema anaupendo ndo huyohuyo kamuacha shetani atwange watu wake anavyotaka,sasa nini maana ya upendo..?
okay hao watenda dhambi wanaenda motoni milele hlf yeye anapata faida gani..?
inafika hatua mpk vitu vyengine unatamani kutukana lkn unaacha yapite tu maana kuna watu wanateseka ni shida hlf linatokeza limtu linasema Mungu anaupendo! what.. inamaana hawaoni hao wenye shida awasaidie..?
et,kuna amri usiue hlf wkt huohuo kuna wengine wanashika mapanga wanawauwa watu et makafiri.. which kind of blindness is this..?
hivi nyie watu wa dini huo ndo utu..? haya ndio mnayofundishwa kufanya..?
Leo hii huko makanisani watu wanaishi kwa chuki,visilani,uzinzi n.k hlf kwenye vitabu vyao hayo hayaruhusiwi lkn anatenda hlf limtu linajiita mtu wa mungu! hivi kwa staili hii utamfanya mtu akiamini unachokiabudu..?
Wewe hujui lolote kuhusu kuran. ukiweza kunijibu masuala haya ndipo nitaamini kama una ujuzi wa quranUshahidi uliousema was kutoka Qur'an hauoneshi kwamba umetoka kwa mungu kwa sababu in wa kibinadamu c kimungu hivyo vitabu vya dini vimeandikwa na watu waarabu kwa wayahudi hakuna kitu hicho
Kwa hapa tu nimjua wewe hujui kitu nakusahisha kwanza hapa sio kuran ni Qur'anWewe hujui lolote kuhusu kuran. ukiweza kunijibu masuala haya ndipo nitaamini kama una ujuzi wa quran
1.Nini maana ya quran?
2.Msahafu ulianza wapi?
3.Jee kabla ya msahafu quran ilikuwa wapi?
4.Kwanini tukiangalia menuscript za kuran za mwanzo na za saivi zinafanana ilihali ishapita miaka 1400 na hakuja badilika kitu?
Mpagani ni nani?Mimi siwezi mpagani hawezi kuniokoa na moto wakati mwenyewe anahitaji uwokozi
Umekimbia nasubili jibu nimbie waislam walitumia kitabu gani kabla ya mtume c mnasema Qur'an iliteremshwa!! Sasa kabla ya kuteremshwa mlitumia kitabu ganiWewe hujui lolote kuhusu kuran. ukiweza kunijibu masuala haya ndipo nitaamini kama una ujuzi wa quran
1.Nini maana ya quran?
2.Msahafu ulianza wapi?
3.Jee kabla ya msahafu quran ilikuwa wapi?
4.Kwanini tukiangalia menuscript za kuran za mwanzo na za saivi zinafanana ilihali ishapita miaka 1400 na hakuja badilika kitu?
Sheikh akiswalisha msikitini anaweza kusoma alhamdu kwa kiswahili pale mbele?Kwanza umepotea ndugu mola wangu na muomba kwa lugha yoyote ninayopenda nae anasikia
Nipe tafsiri ya maneno hataSikiliza wewe sijakusudia mungu wa kristo ndio huyo huyo wa kwetu sisi . ila nina maana hii, hilo neno yehova ni la kiibrania kwa kiarabu linatafsirika "Oh Allah". Na hilo jina mwanzo wake lilianza kwenye kitabu cha zaburi ambacho Mtume aliepewa kitabu hicho ni Daudi (Peace be Upon him). Sasa wao Daudi wala sio nyinyi wakiristo walikuwa wakimwita Allah kwa jina la Yehova.
Kwanza nyinyi wakiristo ni wapagani wala hamuna dini.Mwanzo kabisa mulikuwa mukisema mungu ni jesus baada ya kusoma mukatoa new testment sasa mukasema hapana yule jesus si mungu bali ni mtoto wa mungu tu. Mukasema mungu wa kweli sasa anaitwa "yehova".Lakini kuran tokea ireveal miaka 1400 mpaka leo hii aya haijabadilika "Sema, huyo Allah ni mungu mmoja" 112:1 QURAN.
Sasa kwa ushahidi huu kutoka kwenye bibilia nyie ni wapagani
"Wakiristo maana yake ni wafuasi wa kristo, hilo ni jina la kupanga tu.Lililotumiwa na wapagani wa Antioquia".
Matendo ya Mitume 11:25
Sasa sisi tunajua wazi nyie ni wapagani hamuna mungu wala dini.Wala huyo yehova hatambui ukiristo wenu.
Zamu yako nipe ushahidi unaosema "Allah anaabudu majini" kutoka katika kitabu chochote kile iwe bible au quran
Kutokana na andiko hili la bibilia ukiristo ni upaganiMpagani ni nani?
Msimamo wako wewe ni upi? maana ushasema hakuna mungu je nini msimamo wako baada ya hapo?Hakuna Mungu. Ametungwa na watu tu. Ni character tu kama Santa Claus.
muangalie msikufuruKumbe Yesu sii Mungu eeh!!nilitaka kushangaa,mungu gani anapigwa bakora na aliowaumba "bana"?ahsante kwa taarifa na kunifumbua macho.
Laanatullah.Mimi hapa ndiyo niliyomtengenza!
We hakuna kukufuru hapo hizo ni hadithi fikilishi hakuna kitu hicho kama kusikia kuna kiumbe anaitwa Dragon ktk China lakini hakuna hata mchina mmoja aliyewahi kumwona Dragonmuangalie msikufuru
Msimamo juu ya nini?Msimamo wako wewe ni upi? maana ushasema hakuna mungu je nini msimamo wako baada ya hapo?
Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazoHakuna Mungu. Ametungwa na watu tu. Ni character tu kama Santa Claus.
Kwanini unaandika hivyo? Kitu gani kilichokufanya useme hivyo?Kwanza l
Wala hutopata ukweli kwasababu moyo wako hujauruhusu kutafuta ukweli
Unajua ukifikiri hivyo,kwamba kila complexity ni lazimaiwe na muumbaji, utajifunga kwa sheria yako mwenyewe urudi kukubaliana nami kwamba Mungu hayupo.Mungu yupo kiongozi. Ila siyo huyu tuliyelishwa na wazungu na waarabu ili watuteke na kututawala kimawazo
Naamini kabisa yupo aliyeumba hivi vyote vilivyomo humu duniani na kwingineko. Hebu fikiri vitu kama mpangilio wa nyota na vingine vingi lazima kuna aliyeviratibu vyote hivi.
Hata zamani mababu na bibi zetu walimuabudu huyo Mungu muumba kabla hata ya wageni kutuletea hizi dini zao, kwa hiyo hapa unaona kabisa yupo aliye juu ya vyote hivi