Muigizaji Brad Pitt asherehekea kutimiza miaka 60 na mtoto mbichi wa miaka 33

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,897
19,079
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.

Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects on a man's brain.

Women's age sometimes acts as natural Viagra. Kama mwanaume you need a young lady, young girl friend or concubine.

View: https://twitter.com/FoxNews/status/1736734314484711921?s=19
 
Wilayani Ngara kuna mama wa miaka 33 ana wajukuu.
Aati ubiiichi....ngeeedere
 
Wana wamekushukia kama mwewee hawataki masikhara mambo ya ubichi hayooo
 
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.

Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects on a man's brain.

Women's age sometimes acts as natural Viagra. Kama mwanaume you need a young lady, young girl friend or concubine.

View: https://twitter.com/FoxNews/status/1736734314484711921?s=19

Tafuta pesa dogo
 
Labda neno mtoto mbichi limepoteza maana. Miaka 33 ana ubichi gani? Uyo ni mkangafu tu kama wengine.
 
Baada ya muigizaji Brad Pitt kuachana na mkewe Angelina Jolie, sasa amejinyakulia mtoto mbichi wa miaka 33, karibu nusu ya umri wa Pitt.

Unafikiri kwa nini Pitt hakutafta kikongwe mwenzie wa miaka 50+ ama 60? Sababu ni moja tu, men like young women, women's age has a negative psychology effects on a man's brain.

Women's age sometimes acts as natural Viagra. Kama mwanaume you need a young lady, young girl friend or concubine.

View: https://twitter.com/FoxNews/status/1736734314484711921?s=19

Sasa picha ya huyo mchuchu iko wapi?
 
Kwa hiyo tuseme binti alivunja ungo na miaka 18.
Sasa ukichukua 33 toa 18 =15
Hivyo basi najaribu kufikiria huu ubichi unatoka wapi.
Ni 12-13, tuseme ni 13, hivyo;
33-13=20.
Mwanamke yuko used for the past 20 years, is she still mbichi? Kwa lipi? Hata hivyo gari mbovu huvutwa na nzima.
 
Sasa picha ya huyo mchuchu iko wapi?
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom