Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,058
- 707
Muhtasari wa ziara rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa nchini Jamhuri ya Korea.
Huyo ziara haiishi tu au wanatengeneza na filamu ya hiyo ziara!Muhtasari wa ziara rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa nchini Jamhuri ya Korea.