Muhammad Ali (1942 - 2016) aliishi wakati wangu

Leo nilipostuka kufungulia stesheni ya Habari, nimekutana na Habari za kusikitisha kuwa Muhammad Ali hayuko nasi tena Ulimwenguni.

Binaadam tunakumbushwa, unaposikia Msiba wa mwenzio basi kaa ukijua na wewe siku/muda yoyote/wowote umauti utakuchukua.

Hakuna cha kufanya zaidi ya kumuombea Dua
 
13285379_507747756098551_1100443752_n.jpg

RIP legend, principled person. Kushika dini siyo lazima uvae kanzu, baraghashia, au kufuga mzuzu kama mwarabu
 
Introduction
Parkinson’s disease is a condition in which part of the brain become progressively damaged over many years.
The three main symptoms of Parkinson’s disease are:
  • tremor (involuntary shaking of particular parts of the body)
  • slow movement
  • stiff and inflexible muscles
A person with Parkinson’s disease can also experience a wide range of other physical and psychological symptoms, including depression,constipation, problems sleeping (insomnia), loss of sense of smell (anosmia) and memory problems.

Read more about the symptoms of Parkinson’s disease.

Huu ugonjwa kuishi nao ni shida, pesa ya jamaa ilikuwa ndefu na ndiyo pia imemsaidia kuvuta miaka mingi.
 
Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.

Hata hivyo amekufa bado bwana mdogo miaka 74.

Mimi nilijua Muhammad Ali anakimbiza kwenye miaka 90 au tisini na kitu.

Nimeona kwenye habari walivyokuwa wanazungumzia Historia yake kwa ufupi, kumbe alikataa kupigana Vita vya Vietnam na walimsweka Lupango.

Huo ugonjwa, ni mtihani.

Wakionesha picha zake za mwendo hivi ameshakuwa mtu mzima, mkono wake wa kulia unatetemeka.

Na hata akijaribu kurusha konde anashindwa huku mkono wake ukiendelea kutetemeka.

Kweli sisi Binaadam hamna kitu.

Muhammad Ali na nguvu zake zote zile, uwezo wake, wepesi wake, lakini anashindwa kabisa kurusha konde
 
Walimfunga jela kwa kosa la kukataa kwenda vitani, na ndipo alipojitambua kuwa mzungu sio mtu, na alibadili dini. Kitendo cha kubadili dini kiliwaumiza sana wazungu.
 
Ni kweli, ingekuwa mwenzangu na mie HARUFU na huu ukata walahi ningeshatangulia mbele yake.

Hata hivyo amekufa bado bwana mdogo miaka 74.

Mimi nilijua Muhammad Ali anakimbiza kwenye miaka 90 au tisini na kitu.

Nimeona kwenye habari walivyokuwa wanazungumzia Historia yake kwa ufupi, kumbe alikataa kupigana Vita vya Vietnam na walimsweka Lupango.

Huo ugonjwa, ni mtihani.

Wakionesha picha zake za mwendo hivi ameshakuwa mtu mzima, mkono wake wa kulia unatetemeka.

Na hata akijaribu kurusha konde anashindwa huku mkono wake ukiendelea kutetemeka.

Kweli sisi Binaadam hamna kitu.

Muhammad Ali na nguvu zake zote zile, uwezo wake, wepesi wake, lakini anashindwa kabisa kurusha konde

Mkuu kwa miaka aliyoishi akiwa mgonjwa jamaa amevuta, pia mke wake alikuwa na mapenzi ya dhati. Pamoja na ugonjwa wake walilea watoto yatima wengi. Nilimuona kwa macho mwaka 2006 alikwenda London, jumuia ya waislamu wa Brixton walimualika katika ufunguzi wa jengo lao, the guy was handsome.
 
Ahsante Mkuu, kwa muda wako na kunijuza mawili matatu.

Mimi sijawahi bahatika kumuona kwa macho, zaidi ya kwenye Luninga
 
Mkuu kwa miaka aliyoishi akiwa mgonjwa jamaa amevuta, pia mke wake alikuwa na mapenzi ya dhati. Pamoja na ugonjwa wake walilea watoto yatima wengi. Nilimuona kwa macho mwaka 2006 alikwenda London, jumuia ya waislamu wa Brixton walimualika katika ufunguzi wa jengo lao, the guy was handsome.
1465055399680.jpg
kwa kweli alikuwa handsome. RIP
 
Back
Top Bottom