Kweli dunia hii haina marafiki wa uhakika. Kuna jamaa yangu nilimsaidiaga sana huko nyuma kwa hali na mali. Na hata ukubwani amekuwa akinichek mara kwa mara akijaribu kujenga ukaribu nami. Sasa nikapata shida nikamwambia anisaidie kiaina, Yani alinipiga piga chenga na mpaka leo sijawahi kumsikia tena. Na mimi nimefurahi kupunguza watu wasio na urafiki wa uhakika...