screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,829
- 15,791
Leo mida fulani nimepigiwa na wife ananiuliza Mtendaji wa Kata anakuhitaji uende ukamuone ofisini kwani umefanya kosa gani?
Nikasema sijui maana sikumbuki kama nna kosa lolote ngoja niende nikamsikilize, ikabidi nitoke nilipo nisitishe shughuli niliyokuwa naifanya niende nikamsikilize.
Nikaenda nikamkuta, alichoniambia ni kwamba kuna mchango wa Mwenge wewe kama mdau unapaswa kuchangia shilingi elfu 10. Je hii iko Sawa?
Maana kwamujibu wa maelezo ya wife ni kana kwamba kuna kosa nimefanya hivyo ananitaka ofisini 'kunishughulikia', hata wife ameshangaa nilivyomwambia kwamba ni ishu ya mchango wa Mwenge...
Pia soma:Afisa Mtendaji Kata ya Lulembela anatisha na kulazimisha wananchi na watumishi kutoa mchango