maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,410
- 6,067
mukurasi alifariki muda sanamukurasi naye alifariki?
hatari sana mkuu,kule sistila ulikua ukinikuta ukaniita jina tunagombanaWapi wazee wa mavula vula na picnic za Sistila kwa babu Nyuki, wapi ndezi chakula ya wajumbe! Kumbe Kilagani alishavuta? Alikuwa kaksi sana kasarani Mungu amlaze panapomstahili!
ilikua hatari usisahau na wa Iyunga mkuuVijana wa Ifunda utawaambia nini wakati huo, hakuna cha A' level wala nini mambo yote ni FTC, kisa menyu ya MTC au Dar Tech. I miss those days
hatari sana mkuu,kule sistila ulikua ukinikuta ukaniita jina tunagombana
tehe Mjomba Anex mkuu umenikumbusha mbali hatariKula sana watoto wa Kalobe, Itende na Mbeya Day, nakumbuka Enzi zile mtu unachukua mtoto wa Loleza siku za Jumapili unaenda kuchinjia pale Mjomba Anex Soko Matola ama Nkwenzulu Motel kwa wale wa kishua! Wapi Somanga!
daah! unanikumbusha ticha mwakasege,mwakosya,mwendamseke ndudi na marehemu chiallo,pia kuscramble nyali na polaKula sana watoto wa Kalobe, Itende na Mbeya Day, nakumbuka Enzi zile mtu unachukua mtoto wa Loleza siku za Jumapili unaenda kuchinjia pale Mjomba Anex Soko Matola ama Nkwenzulu Motel kwa wale wa kishua! Wapi Somanga!