GS POWER INSTALLATION LTD
Member
- Aug 14, 2017
- 8
- 1
Katika kuelekea msimu mpya wa masomo gs power installation ltd ikishirikiana na veta imeandaa mafunzo ya ufundi wa electric fence,cctv camera pamoja na alarm system.Mafunzo ni ya muda wa miezi mitatu utajifunza kufanya installation kuanzia mwanzo mpaka mwisho.Gharama ya masomo ni 250,000 kwa kila kozi utapewa material ya kujifunzia kutoka chuoni
Masomo yanatarajia kuanza tarh 2.4.2017 mwanafunzi ataudhuria site kujifunza ufundi kwa vitendo kulingana na kozi aliyochangua kujifunza.
Ada ya masomo italipwa taratibu ndani ya miezi mitatu.Fomu za kujiunga zinapatikana kwa bei ya tsh 10000/= tu.
Kwa maelezo zaidi unaweza kutembelea katika tovuti yetu ya chuo
Www.Gstrainingcentre.Co.Tz
Pia unaweza kutupigia kwa no zifuatazo kwa maelezo zaidi
0677 007 590
0753 041 524