Msimu huu hakuna Ukame wa kutisha. Kuna haja ya kumshukuru Mungu kama Taifa, na katika dini zetu za aina zote

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
6,262
13,181
Asante Muumba wa Mbingu na Ardhi ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Napenda kuchukua fursa hii kuwasihi sisi sote kama Taifa na wananchi, wanajamii kwa Imani zetu zote tumshukuru Mungu kuzuia Ukamue msimu huu wa mwaka 2023-2024.

Asante Mungu wetu ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Ndimi mwanao

Wadiz
 
Back
Top Bottom