Wanatafuta mvuto hao maCCM lakini wananchi wanajua janja yao.Sasa hapo kawachezesha kwata gani?
We kijana acha viroba,punguza stress,piga kazi. Hao wanaopiga rangi wanatimiza wajibu wao.....wewe soon maisha yatakupigisha kwata la kimyakimya
Kama haupo iringa shut up....Msigwa kitu gani efanya hapo Iringa? Acha serikali itimize wajibu wake.
Miaka yote walikuwa wanajiona mungu watu lkn baada ya kukataliwa sasa inabidi wapige kwata ili kuwashawishi wapiga kura jambo ambalo tayari wameshachelewaSasa hapo kawachezesha kwata gani?
We kijana acha viroba,punguza stress,piga kazi. Hao wanaopiga rangi wanatimiza wajibu wao.....wewe soon maisha yatakupigisha kwata la kimyakimya
Afadhali bhana, maana sikuona post zako wala comment zako karbia mwezi hivi.Mkuu mbona nipo tu?
Mbona unakuwa na hasira binti? hayo ni maneno ya Msigwa wakati ule kabla CDM haijapoteza dira!!Kapimwe wewe uliyelazimishwa kuishi kama shetani
Kuleni matapishi yenu maana dunia nzima inawashangaa kwa unafiki wenu!U kapimwe akili wewe
Tulia wé mbugilaMsigwa kitu gani efanya hapo Iringa? Acha serikali itimize wajibu wake.